Kamati Kuu CCM kukutana leo

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo kwa ajili ya kupitisha jina la mgombea wa chama hicho kwa nafasi ya uwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Kamati Kuu ya CCM kukutana leo

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya KikweteWAJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM wanakutana leo katika ukumbi wa makao makuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa chini ya mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

 

4 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

3 years ago

Mtanzania

Kamati Kuu CCM kukutana kesho

Rais mstaafu Jakaya Kikwete

Rais mstaafu Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) inatarakuwa kukutana kesho jijini Dar es Salaa chini ya Mwenyekiti wake Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Msemaji wa CCM, Christopher ole Sendeka, ilieleza kuwa kikao hicho pamoja pamoja na mambo mengine kitajadili masuala kadhaa ya chama hicho ikiwa kutangazwa kwa tarehe ya mkutano mkuu maalumu.

Katika mkutano huu inatarajiwa Kikwete, atakabidhi...

 

4 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA MEI 23,DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na...

 

2 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa chama cha CCM, Rais Dkt Magufuli akiwakaribisha wajumbe kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM na kufungua kikao hicho mapema leo asubuhi,kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...

 

2 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana alipowasili Makao Makuu ya CCM, mjiniDodoma leo kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Maguguli akiwana Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kushoto) kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kikaocha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein 

 

2 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein.
 Mweyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akiwa tayari kuongoza kikao hicho
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk John Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi kabla ya kikaokuanza. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,...

 

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani