KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA DAR ES SALAAM

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), itakutana kwa dharura, jijini Dar es Salaam, chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, ambapo pamoja na masuala mengine, itapokea taarifa na kujadili hali ya siasa nchini.Katika siku za hivi karibuni, taifa limekuwa likipitia katika majaribu makubwa, ikiwa ni pamoja na uvunjifu mkubwa wa sheria na taratibu za kuongoza nchi

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

UCHAGUZI MDOGO KALENGA: KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA FEB 14, 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana kwa ajili ya kikao cha dharura, Februari 14, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho, Kamati Kuu itajadili na kufanya uteuzi wa mwisho wa jina la mgombea ubunge wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, unaotarajiwa kufanyika Machi 16, mwaka huu....

 

4 years ago

Michuzi

KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA DAR ES SALAAM KESHO NA KESHOKUTWA


Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji wa chama, KK itapokea taarifa, kujadili na kufanya maamuzi kuhusu;

1.     Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi...

 

4 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

1 year ago

CHADEMA Blog

KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARULA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura, kwa mujibu wa Katiba ya Chama, siku ya Jumatano, Desemba 6, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.Katika kikao hicho cha siku moja, pamoja na masuala mengine, Kamati Kuu ya Chama itapokea na kujadili agenda ya Mwenendo wa Hali ya Kisiasa nchini, kipekee kuhusu;i.Taarifa na

 

4 years ago

Mwananchi

CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete (pichani)ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu (CC) kitakachofanyika kesho mjini Dodoma, huku ajenda kuu ikiwa ni kupitisha majina ya wagombea nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.

 

2 years ago

Mwanaspoti

TFF kukutana kwa dharura, Fifa kuja Dar Jumanne ijayo

Kamati ya Utendaji ya Shrikisho la Soka Tanzania (TFF) inatarajiwa kukutana kwa dharura kesho asubuhi kujadili mustakabali wa shirikisho hilo baada ya Rais wake Jamal Malinzi kuwekwa ndani kwa makosa ya kutakatisha fedha  juzi Alhamisi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani