KAMATI YA BUNGE YA PIC YATEMBELEA EPZA

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda wa Uwekezaji (EPZA) Bw.  Lamau Mpolo akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea eneo hilo mapema leo.   Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments kilichopo eneo la EPZA Bw.  Bakanga Paul akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kiwanda hicho. Mwanasheria  wa Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Bw  Ibrahim Gamba (kushoto) kilichopo eneo la EPZA akimuelezea Mwenyekiti wa Kamati ya ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) Mhe Albert Obama akimuelezea jinsi uzalishaji wa nguo unavyofanyika Kiwandani hapo wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kiwanda hicho.   Wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakiangalia shughuli za uzalishaji nguo zinafofanyika Kiwandani hapo.  Msajili wa Hazina (kulia) Dkt Oswald Mashidano pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe Albert Obama (katikati) wakiangalia jinsi shughuli za ushonaji nguo zinavyofanyika Kiwandani hapo.(Picha na Ofisi ya Bunge).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA PIC YAPEWA MAFUNZO JUU YA UWEKEZAJI KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dhow Financial Prof Mohamed Warsame akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umaa.Waheshimiwa Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umma.Msajili wa Hazina Dkt Oswald Mashindano akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge...

 

3 months ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA (PIC) YAKAGUA MIRADI YA NHC YA UJENZI WA NYUMBA ENEO LA KAWE NA MORROCO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa  Kamati ya  Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)  Mhe. Albert Obama (Mb) akizungumza wakati Kamati yake ilipokwenda kukagua mradi wa Ujenzi wa Nyumba katika eneo la Kawe na Morroco Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya PIC kuhusu mradi wa ujenzi wa Nyumba katika eneo la Kawe. Mwenyekiti wa  Kamati ya  Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)  Mhe. Albert Obama (Mb) akielezea jambo wakati Kamati...

 

2 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yatembelea miradi ya maji

WIZARA ya Maji imelazimika kuwapeleka wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Klimo, Mifugo na Maji katika miradi mbalimbali ya maji Tanzania bara, ili kujionea hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.

 

1 year ago

CCM Blog

KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI YATEMBELEA MSD
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (mwenye suti nyeusi kushoto), akiwatembeza Wajumbe wa  Kamati Bunge ya Mauala ya Ukimwi waliotembelea MSD Keko Dar es Salaam jana.Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi, Hassna Sudi Katunda Mwilima (wa pili kulia), akifafanua jambo kwa wajumbe hao na wageni katika ziara hiyo.Meneja wa Miradi Msonge, Byekwaso Tabura (kulia), akiwatembeza wajumbe hao MSD Keko.Meneja wa Miradi Msonge, Byekwaso Tabura (katikati), akitoa maelekezo...

 

3 months ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA BANDARI


Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani (Mb) (wa kwanza kulia) akisisitiza jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Bandari ya Dar es Salaam mapema leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Hawa Ghasia(Mb). Kamati za Kudumu za Bunge zimeanza shughuli zake hii leo ambapo katika wiki hii takribani Kamati za Kisekta 12 zitakuwa zikifanya ziara za kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini kabla...

 

1 year ago

Dewji Blog

Kamati ya bunge wa miondombinu yatembelea miradi mbalimbali

Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yatembelea miradi mbalimbali inayotelezwa na taasisi zilizo chini ya kamati ambapo Mo Blog imekuandalia habari picha za jinsi ziara hiyo ilivyokuwa.

IMG_0667

Makamu Mwenyekiti wa Kamatiya  Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso (Mb), akisalimiana na uongozi wa Kampuni ya SMH Rail inayounda upya vichwa vya treni katika karakana ya reli iliyoko mkoani Morogoro, ambapo kamati hiyo iliyotembelea hivi karibuni kuona maendeleo ya uundwaji upya wa vichwa vya...

 

3 months ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA SOKO LA HISA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bi. Nasama Massinda akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti walipotembelea Soko la Hisa leo Jijini Dar es Salaam.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bajeti walipotembelea Soko hilo leo Jijini Dar es SalaamMeneja Miradi na Biashara wa wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Patrick akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA NHC.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Sixtus Mapunda (kushoto kwake), wakati Kamati hiyo ya Bunge ilipofanya ziara kwenye miradi miwili ya Shirika la Nyumba la Taifa ya NHC Mwongozo na NHC Eco Residence uliopo Kinondoni Hananasif. Kwa ujumla Kamati ya Bunge imeridhishwa sana na utendaji mzuri wa Shirika la Nyumba la Taifa na imeahidi kuyavalia njuga masuala ya Double Taxation...

 

1 year ago

Dewji Blog

Kamati ya Bunge ya Miundombinu yatembelea miradi ya reli na bandari

Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yatembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya kamati ambapo Mo Blog imekuandalia habari picha za jinsi ziara hiyo ilivyokuwa.

IMG_0667

Makamu Mwenyekiti wa Kamatiya  Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso (Mb), akisalimiana na uongozi wa Kampuni ya SMH Rail inayounda upya vichwa vya treni katika karakana ya reli iliyoko mkoani Morogoro, ambapo kamati hiyo iliyotembelea hivi karibuni kuona maendeleo ya uundwaji upya wa vichwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani