KAMATI YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI YATEMBELEA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ya Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Chomera Jeremiah (kushoto) Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wakati Kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Tume leo jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (katikati) akitoa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA (PTF)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa walipoitembelea ofisi ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) ili kupata taarifa ya kiutendaji. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitoa neno la utangulizi wakati Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ilipoitembelea...

 

2 years ago

Michuzi

Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa yatembelea Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Angellah  Kairuki amesema kwamba serikali itahakikisha kwamba Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Mbeya kinakuwa na majengo yake ili kupunguza gharama za uendeshaji.

Kwa sasa chuo hicho kinatumia majengo ya kukodi ambayo ni mali ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya,majengo hayo yapo eneo la  soko Matola, Chuo kinahudumia wakazi wa Nyanda za Juu Kusini.

Akiwasilisha taarifa ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania...

 

3 years ago

Michuzi

kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa jijini Dar es Salaam yakagua DART

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi Ronald Lwakatare akitoa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha uliopita kwa kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.  Kamati hiyo pia ilifanya ziara ya kujionea miundombinu ya mradi wa mabasi hayo. Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi Ronald Lwakatare (katikati) akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI YAFANYA ZIARA TAGLA JIJINI DAR

 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakiwa katika mkutano ulioendeshwa kwa kwa njia ya video kwa kuunaga na wadau waliokuwepo Dodoma, Arusha na Nairobi nchini Kenya, wakiwa katika ukumbi wa Mikutano wa Wakala wa Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA), uliopo kwenye Jengo la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), jijini Dar es salaam leo. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA), Charles Senkondo akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya...

 

3 years ago

Michuzi

Ziara ya Mafuzo ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa

  Leo Jumatano tarehe 30 Machi 2016 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa chini ya Makamu Mwenyekiti Mh. Dkt. Pudenciana Kikwembe walipata fursa ya kutembelea ofisi za MKURABITA kwa ajili ya kujifunza juu ya madhumuni na shughuli za MKURABITA nchini.
 Katika ziara hiyo walipokelewa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi Mh. Angela Kairuki na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Peter IlomoAidha walipokea taarifa fupi kuhusu MKURABITA na maendeleo ya shughuli za ...

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI YATEMBELEA WALENGWA WA TASAF KATIKA KIJIJI CHA MLANDA IRINGA VIJIJINI.

NA ESTOM SANGA-TASAF
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wametembelea kijiji cha Mlanda wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa kukagua shughuli zinazotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF- kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini-PSSN.
Wakiwa kijijini hapo wajumbe wa kamati hiyo wameonyesha kuridhishwa kwao na namna Mpango huo ulivyohamasisha wananchi kuboresha maisha yao ikiwemo ujenzi wa nyumba za mabati,kusomesha watoto,kuanzisha miradi midogo...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani