KAMATI YA NIDHAMU TFF YAMFUNGIA JUMA NYOSO, KUKOSA MECHI TANO

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.
KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia  Juma Nyoso wa Kagera Sugar kwa kosa la kupiga shabiki baada ya mchezo kati ya timu yake dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera.
Akitolea ufafanuzi hukumu hiyo, Ofisa habari wa TFF Clifford Ndimbo amesema kamati ya nidhamu iliketi na kujadili masuala mbalimbali ya nidhamu ikiwemo suala la beki wa timu ya Kagera Juma Nyoso kumpiga shabiki wakati wa mchezo wao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

KAMATI YA NIDHAMU YAMFUNGIA JUMA NYOSO

Kamati ya Nidhamu iliyokutana Jumamosi Februari 10, 2018 pamoja na mambo mengine pia ilipitia shauri la mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyoso lililofikishwa kwenye kamati akituhumiwa kwa utovu wa nidhamu kwenye mechi namba 112 ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba.Juma Nyoso alituhumiwa kumpiga shabiki baada ya kumalizika mchezo huo kinyume cha kanuni ya 36 ya ligi Kuu inayozungumzia uchezaji wa kiungwana pamoja na...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Juma Nyoso ashtakiwa kamati ya nidhamu ya TFF

Afisa Mtendaji mkuu wa Bodi ya ligi Boniface Wambura leo Januari 27, 2018 amesema kufuatia  mchezaji Juma Nyosso wa Kagera Sugar kumpiga shabiki kamati hiyo imepitia ripoti ya kamishna wa mchezo huo namba 112 kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba SC na kubaini kuwa tukio hilo ni la kinidhamu hivyo kulifikisha sehemu husika.

”Kamati imepitia ripoti ya kamishna na imeonesha kuwa kulikuwa na tukio ambapo mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso alimpiga ngumi shabiki hivyo suala hilo...

 

4 years ago

Michuzi

KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS


Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.

Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...

 

3 years ago

Bongo5

TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili

Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara iliyokutana September 29 kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza nchini, imemfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili. Pia imempiga faini ya shilingi milioni mbili kuafutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji […]

 

2 years ago

Channelten

FIFA yamfungia Messi mechi 4 kwa utovu wa nidhamu.

2

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA jana limetangaza kumfungia mechi nne kapteni wa Argentina Lionel Messi kufuatia kosa alilolitenda Machi 24 wakati wa mchezo dhidi ya Chile, Messi amefungiwa kutokana na utovu wa nidhamu wa kumtolea lugha isiyo ya kiungwana refa wa mchezo huo.

Mbali ya kifungo hicho, Messi amelimwa faini ya Pauni 8,100. Taarifa ya FIFA imedai Messi amevunja Kipengele cha 57 cha kanuni za nidhamu za FIFA kwa kumrushia matusi refa msaidizi.

Mara baada ya adhabu hiyo...

 

3 years ago

Bongo5

TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso

Cheza mbali na Juma Nyoso lasivyo atakupiga dole! Camera zilimnasa Nyoso akimpiga dole mchezaji wa Azam, Bocco Beki huyo wa Mbeya City amerudia tena kitendo hicho cha kudhalilisha wachezaji wenzake wake uwanjani kiasi ambacho TFF imeahidi kumchukulia hatua kali zaidi awamu hii. “Udhalilishaji uliofanywa leo na mchezaji mmoja wa timu ya ligi kuu tumeuona,hatua kali […]

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA SAA 72 YAMFUNGIA KOCHA WA STAND MOROCCO MECHI TATU
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa 72), imemfungia Kocha wa Stand United, Hemed Suleiman ‘Morocco’ kushiriki michezo mitatu uwanjani na faini ya Sh 500,000 (laki tano).
Katika mechi Na. 160 ya Ligi Kuu ya Vodacom uliozikutanisha timu za JKT Ruvu na Stand United iliyochezwa Januari 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, Morocco aliondolewa kwenye benchi (Ordered off) kwa kosa la kupiga maamuzi ya mwamuzi na...

 

3 years ago

Michuzi

Kamati ya Maadili TFF Yamfungia Jerry Muro, Kutojishughulisha na maswala ya soka kwa Mwaka Mmoja

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro (pichani) amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka pamoja na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3, baada ya kikao cha Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kilichokaa leo kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo, chini ya Mwenyekiti wake, Wakili Wilson Ogunde 
Muro amefungiwa baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka mawili kati ya matatu yaliyowasilishwa na TFF mbele ya Kamati ya hiyo, ambayo ni...

 

1 year ago

Michuzi

MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

Kamati ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Novemba 2, 2017 na ule kati ya Azam Fc na Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Chamazi Oktoba 27, 2017.

Kwenye mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons,Meneja wa timu ya Tanzania Prisons Erasto Ntabahani alipelekwa kwenye kamati hiyo ya nidhamu kwa kosa la kumshambulia muamuzi wa akiba,kamati imejiridhisha kuwa Ntabahani alimshambulia kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani