Kambaya: Waliotufukuza CUF kabla ya kujibu hoja hawana majibu sahihi ya hoja zetu

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF ambae pia ametajwa katika wanachama waliosimamishwa na CUF amenukuliwa akisema:

Nimekua napigiwa simu nyingi toka kwa Wanachama wenzangu na Waandishi wa habari kuhusu Taarifa zilizozagaa kwenye Mitandao. Majibu yangu ya awali Kuhusu Taarifa hizo ni

1 Moja Baraza Kuu lina Mamlaka ya kufanya hivyo kwa mujibu wa Katiba na kwa kufuata Katiba jinsi inavyoeleza kwenye hizo taratibu za kuchukua hatua za Kinidhamu.

2 Mimi na wenzangu tunaotajwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Kinana: Nitarudi na mawaziri kujibu hoja

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kuwapeleka baadhi ya mawaziri kwa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika vijiji vilivyopo ndani ya Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro.

 

3 years ago

Habarileo

Mashtaka kujibu hoja ya utakatishaji wa milioni 7

UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 14 inayowakabili wafanyabiashara wawili, leo unatarajiwa kujibu hoja za upande wa utetezi ulioiomba mahakama iwafutie washitakiwa shitaka la utakatishaji fedha.

 

2 years ago

Habarileo

Ester Bulaya kujibu hoja za Wasira

RUFANI ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Bunda Mjini iliyokuwa isikilizwe leo jijini hapa imeahirishwa kwa muda usiojulikana na Mahakama ya Rufaa kutoa nafasi kwa, Ester Bulaya kupata muda wa kujibu hoja za kisheria zilizotolewa na upande wa mkata rufani.

 

1 year ago

Zanzibar 24

TFF kujibu hoja ya Zitto Kabwe

Shirikisho la Soka Tanzania TFF  limejibu hoja iliyotolewa jana na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ya kuitaka Tanzania isusie kucheza mechi na Libya kwa lengo la kuonesha kuchukizwa na kupinga vitendo vya biashara ya utumwa inayoendelea nchini humo.

Akizungumza kwenye kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, afisa habari wa TFF Alfred Lucas amesema suala hilo limefikishwa kwa uongozi wa TFF na litatolewa majibu hivi karibuni.

“Msimamo utatolewa na viongozi...

 

4 years ago

Dewji Blog

NAPE aitaka tume kujibu hoja kwa wakati

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuvaakisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizeshen CCM,Dk.Mohamed Seif Khatibu.

4

Wadau mbali mbali wa vyama...

 

1 year ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUJIBU HOJA ZA UKAGUZI KWA WAKATI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote nchini kujibu hoja za wakaguzi kwa wakati ili kupunguza hati Chafu na Mashaka kwa Halmashauri.

Ametoa maagizo hayo alipokuwa akizungumza na Kamati ya ulinzi na Usalama na Manejimeti ya Mkoa wa shinyanga leo wakati akiwa katika ziara ya kutembelea miradi yamaendeleo Mkoani hapo.


Amesema Wakurugenzi wanawajibu wa kuhakikisha hoja zote zinazotolewa na wakaguzi zinafanyiwa kazi...

 

5 years ago

Mwananchi

Shein awataka mawaziri Z’bar kujibu maswali kwa hoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka mawaziri kujibu maswali yanayoulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na kwa umakini mkubwa ili kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa baraza wa kuisimamia Serikali.

 

2 years ago

VOASwahili

Chadema wamtaka Magufuli kujibu hoja za kuporomoka uchumi Tanzania

Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimeitaka Serikali kujibu hoja kuhusu kuporomoka kwa uchumi katika utawala wa Rais John Magufuli badala ya kuwadanganya wananchi.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zitto Kabwe: Kujibu hoja za CAG ni kinyume cha Sheria

Mbunge wa Kigoma (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amesema kitendo cha mawaziri kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ni kinyume cha Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma na kifungu 38 (1 na 2).

Akizungumza leo Aprili 15 mjini hapa, Zitto amesema kifungu hicho kinaeleza namna hoja hizo zinavyotakiwa kujibiwa na kwamba mawaziri wamekuwa hawatajwi kabisa katika kifungu hicho.

“Wanaopaswa kujibu hoja za CAG ni maofisa masuhuli ambao ni makatibu wakuu wa wizara, siyo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani