Kambi ya upinzani yaunda kanuni

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) imeunda kanuni zitakazowaongoza wabunge wake kuendesha shughuli mbalimbali za chombo hicho cha uwakilishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

CUF ya Lipumba yaunda kambi yao ya upinzani bungeni

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinachomuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba wametangaza kuunda kambi yao Bungeni tofauti na Kambi Rasmi Bungeni inayoundwa na UKAWA, anaandika Dany Tibason. Imeelezwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Bara, Magdalena Sakaya ambaye pia ni mbunge wa Kaliyua aliwasilisha majina ya viongozi wapya wa chama hicho kwa Spika wa Bunge ...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

KAMBI RASMI YA UPINZANI YALAANI VITENDO VIOVU ALIVYOTENDEWA MNADHIMU MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE TUNDU LISSU

Kambi rasmi ya upinzani bungeni imelaani na kupinga vitendo viovu alivyotendewa Mnadhimu wa Kambi hiyo, Tundu Lissu, ambaye alinusurika kifo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana Septemba 7, mwaka huu mjini Dodoma Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali moja ya Nairobi, Kenya.Akiwasilisha bungeni maoni ya kambi rasmi ya upinzani

 

3 years ago

CHADEMA Blog

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO

_________________________  1. UTANGULIZI  Mheshimiwa Spika, Mwanafalsafa Baron Montesquieu aliwahi kuandika ifuatavyo kuhusu mgawanyo wa madaraka “Pale ambapo madaraka ya Bunge na ya Serikali kuu yanakuwa yamehodhiwa na mtu mmoja, au katika chombo hicho hicho cha hukumu, hakutakuwa na uhuru, kwa sababu hofu itazuka, utawala huo huo au bunge litatunga sheria kandamizi na kuzitekeleza kwa

 

3 years ago

CHADEMA Blog

HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI JOHN JOHN MNYIKA (MB) KUHUSU MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI JUU YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2015/2016 NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI NA MADI

UTANGULIZI Awali ya yote naomba kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na kuniwezesha kuwasilisha kwa mujibu wa Kanuni ya 99 (9) toleo la mwaka 2016 , maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani juu ya mapitio ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2015/2016 na makadirio ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini mwaka wa fedha 2016/2017. Nitumie fursa hii pia kuwashukuru waheshimiwa wabunge na wote

 

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

3 years ago

Habarileo

Kanuni za Bunge zalinda posho za Upinzani

UDHAIFU wa Kanuni za Bunge katika kufafanua mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Bunge, umeelezwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuwa unatakiwa kurekebishwa ili kutoa nafasi ya Kiti cha Spika kutoa uamuzi dhidi ya vitendo visivyokubalika vinavyoendelea ndani ya Bunge.

 

2 years ago

CHADEMA Blog

HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB), MHESHIMIWA FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016________________________________UTANGULIZI1. Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mbunge mwenzetu Mhe. Dkt. Elly Macha (CHADEMA Viti Maalum) kilichotokea tarehe 30 Machi, 2017 huko nchini Uingereza alikokuwa matibabuni. 2. Mheshimiwa Spika,

 

2 years ago

Mwananchi

Hotuba ya kambi ya upinzani yahaririwa

Hotuba ya kambi ya upinzani imehaririwa kwa maelekezo ya Spika, Job Ndugai na kuondoa maneno kwenye kurasa namba 4, 7 na 19.

 

4 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Mhe. Freeman Mbowe
1. UTANGULIZI:
Mheshimiwa Spika,

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa katika harakati na shughuli zangu za kisiasa.

Mheshimiwa Spika,Napenda kuchukua nafasi hii pia, kuwashukuru watanzania wote kwa ujumla kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko nchini. Shukrani hizi za pekee ziwafikie wenyeviti...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani