KAMISHENI YA HAKI ZA BINADAMU YA UMOJA WA MATAIFA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

  Mwakilishi wa  Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, akizungumza  siku ya Alhamis Usiku, muda mfupi  kabla ya  kuonyeshwa kwa filamu ya "the Boy from Geita" ambayo inaelezea uovu wanaotendewa watu wenye ulemavu hususani watoto Nchi Tanzania. Katibu Mkuu  Msaidizi wa ofisi ya Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa,  Bw.  Ivan Simonvic wapili kutoka kushoto alitambua mchango wa serikali katika kuukabili uovu dhidi ya  watu wenye ulemavu wa ngozi   na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimueleza jambo Mtaalamu wa kujitegemea kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, liliopo Geneva, Switzerland Ndg. Ikponwosa Ero, nyumbani kwake Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa na ugeni kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa lenye Makao Makuu yake Geneva, Switzerland wakiongozwa na Ndg. Ikponwosa Ero (wa pili kushoto) uliomtembelea nyumbani kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge...

 

3 years ago

Channelten

Umoja wa Mataifa umeitaka Serikali ya Kinshasa kuheshimu haki ya kuandamana.

 

09-28-2016kinshasa

Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa unaozuru nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, umeitaka serikali ya Kinshasa kuheshimu haki ya kuandamana lakini pia kufungulia mitambo ya matangazo ya Idhaa ya Kifaransa ya RFI.

Wito huu umetolewa kwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila baada ya kukutana na ujumbe huo kuzungumzia hali ya kisiasa na usalama nchini humo.

Baada ya mazungumzo ya saa moja na nusu, wajumbe hao kutoka nchi 15 wamesisitiza pia umuhimu wa mazungumzo ya kisiasa nchini...

 

4 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KAMISHENI YA TAKWIMU YA UMOJA WA MATAIFA

Mkutano wa 46 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja ya Mataifa umeingia katika siku ya pili ambapo wajumbe wa Kamisheni hiyo wanajadiliana na kupitisha maazimio mbalimbali yanayohusia na masula ya kitakwimu katika maeneo mbalimbali.

Mkutano huu ambao ni wa siku nne unafanyika katika kipindi ambacho Jumuiya ya Kimataifa inaendelea na jukumu kubwa la kuaanda na kukamilisha rasimu ya malengo mapya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) mchakato ambao umekwisha ainisha jumla ya...

 

2 years ago

CCM Blog

JK AKUTANA NA RAIS WA CHAD NA MWENYEKITI MPYA WA KAMISHENI YA UMOJA WA MATAIFA

 Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete  akipokelewa na Rais wa Chad Idrissa Deby Atno. Kulia ni Waziri wa Elimu wa Chad.  Ahmat Ghazali Acyl
 Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akimkabidhi Mwenyekiti Mpya wa AU,  Moussa Fakhi Ripoti ya Kamisheni ya Kimataifa ya Kupendekeza Namna Bora ya Kugharamia Fursa ya Elimu Duniani.
 Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais wa Chad  Idrissa Deby Itno Ripoti ya Kamisheni ya Kimataifa ya Kupendekeza Namna Bora ya Kugharamia Fursa ya Elimu
 Rais Mstaafu...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Polisi kushirikiana na watetezi wa haki za binadamu

JESHI la Polisi nchini limeahidi kufanya kazi kwa ukaribu na watetezi wa haki za binadamu ili waweze kutekeleza majukumu yao katika hali ya usalama. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...

 

3 years ago

Michuzi

Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani Yakamilisha Kazi Yake jijini Oslo

Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani iliyo chini ya uenyekiti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mheshimiwa Gordon Brown imekamilisha kazi yake ya kuandaa Taarifa yenye mapendekezo ya kuiwezesha dunia kuhakikisha kila mtoto popote alipo duniani anapata fursa  ya elimu  ya ubora wa elimu unaolingana ifikapo mwaka 2030.Kamisheni hiyo ya Elimu iliyoundwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imefanya kikao chake cha majumuisho tarehe 2 Julai, 2016 jijini Oslo....

 

2 years ago

Michuzi

Tanzania katika Mkutano wa 61 wa Kimataifa wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani

 Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla (Mb) , Naibu Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akichangia mada katika kikao cha ngazi  ya Mawaziri kuhusu uwezeshaji wa Wanawake Waliopo kwenye sekta isiyo rasmi.Dkt. Kigwangalla ameelezea jinsi ambavyo kwa upande wa Tanzania, Serikali imepiga jitihada Kubwa kuhakikisha inamkomboa mwanamke kutoka kwenye utegemezi kwa kuunda vyombo mbalimbali na kuandaa sera na miongozo inayoelekeza usawa katika kufikia malengo ya kumkomboa...

 

2 years ago

Michuzi

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Chad na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa

Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 20 Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo  na Rais wa Chad, Mhe. Jenerali Idrissa Deby Itno katika Ikulu yake jijini N'Djamena, Chad. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Waziri wa Elimu wa Chad Mhe. Ahmat Ghazali Acyl na Waziri wa Fedha Mhe. Diguimbaye Christian.Ziara hiyo ya Rais Mstaafu nchini Chad ni muendelezo wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu ya kuwafikia viongozi wa nchi 14...

 

5 months ago

RFI

Dunia yaadhimisha miaka 70 ya mkataba wa haki za binadamu huku Afrika mashariki, haki za binadamu zikipitia changamoto

Disemba 10 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya haki za binadamu, tukio linalokumbukwa baada ya kutiwa saini kwa azimio la haki za binadamu mwaka 1948.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani