KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MUZIKI WA BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Naibu Kamishna wa Magereza, Gideon Nkana alipowasili kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017(kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga.Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA SHIRIKA LA MAGEREZA, JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha Shirika la Uzalishaji mali la Magereza ambapo katika Kikao hicho cha siku mbili Wakuu wa miradi watapata fursa ya kuelezea maendeleo ya miradi mbalimbali ya shirika hilo. Kikao hicho kimeanza leo Machi 15, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga – Dar es Salaam.Baadhi ya Wakuu wa miradi mbalimbali ya Shirika la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt....

 

2 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA APOKELEWA KWA KISHINDO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokelewa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo baada ya kuapishwa rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima toka katika Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari(hawapo pichani) kwa ajili yake kwa heshima.Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikagua...

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO MAALUM KUJADILI MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao Maalum cha kujadili mikakati ya utekelezaji wa Jeshi la Magereza kujitosheleza kwa chakula.Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani).Washiriki wa Kikao kazi ambao ni Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifanya maadiliano mbalimbali katika vikundi kama inavyoonekana katika...

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT JUMA MALEWA AWAAGA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIOKUWA WAKISHIRIKI MAZOEZI YA ULINZI WA AMANI JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa(kushoto) akiteta jambo na Maafisa wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji toka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika Desemba 15, 2017 katika Ukumbi wa Magereza – Recreation, Ukonga Jijini Dares salaam. Maafisa hao walikuwa hapa nchini kushiriki mazoezi ya Kijeshi ya pamoja kuhusu ulinzi wa amani yaliyohusisha nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yaliyoandaliwa na Jeshi la...

 

2 years ago

Michuzi

KAIMU KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AWAASA MAOFISA MAGEREZA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA UFANISI


Na Lucas MbojeKAIMU Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa (pichani) amewaasa Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza  nchini kuzingatia  kuwa utendaji wao wa kazi za kila siku uende sambamba na kasi ya Serikali ya Awamu ya tano ili kuleta ufanisi unaotarajiwa.KAIMU Kamishna Jenerali, Dkt. Malewa ameyasema hayo jana wakati wa Baraza la Kufunga Mwaka 2016 na kuukaribisha Mwaka 2017 lililowahusisha baadhi ya Maafisa na Askari kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza,...

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA JIJINI MBEYA

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kimila Mkoani Mbeya(kushoto) ni Kiongozi Mkuu wa kimila kabila la Wasafa lililopo Mkoani Mbeya, Rocket Mwashinga(kulia) ni Kiongozi wa Pili wa Wasafa Mkoani Mbeya, George Joto mara baada ya mazungumzo mafupi na Kamishna Jenerali wa Magereza walipokutana katika viwanja vya Magereza Mkoani Mbeya, leo Desemba 31, 2017(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt....

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AMZAWADIA MILIONI MOJA ASKARI WA KIKE KWA UTENDAJI KAZI MZURI KAZINI, JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akimkabidhi zawadi ya Sh. Milioni moja(1,000,000) askari wa kike Sajini wa Magereza, Anna Akuny(katikati) kutokana na utendaji wake mzuri kazini aliouonesha katika Gereza la Wanawake Segerea(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga(wa pili kulia) ni Mkuu wa Gereza Segerea, ACP. Godfrey Kavishe.
Askari wa Kike Sajini Anna Akuny(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma...

 

1 year ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI HILO MKOANI DODOMA

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha siku moja cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Magereza Mikoa pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani)katika Kikao kazi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la...

 

2 years ago

Michuzi

KAIMU KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2016 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2017 JIJINI DAR


  Naibu Kamishna wa Magereza, Edith Mallya akimkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(katikati aliyeketi) kabla ya kuongea na Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam katika Baraza Maalum la kufunga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya 2017(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa D ar es Salaam, SACP. Augustine Mboje. Baraza hilo limefanyika Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam Desemba 30, 2016. Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani