KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MINJA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA AFISA MNADHIMU MKUU MSAIDIZI WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DARES SALAAM

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akisaini katika Kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ambaye amefariki Jumapili tarehe 19 Oktoba, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.Mwili wa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MH. CHIKAWE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR

Mwili wa Marehemu, Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza tayari kwa zoezi la kuagwa Kijeshi katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye ameagwa leo Kijeshi Juni 04, 2015 katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR

Mwili wa Marehemu, Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza tayari kwa zoezi la kuagwa Kijeshi katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye ameagwa leo Kijeshi Juni 04, 2015 katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi...

 

3 years ago

Michuzi

CGP – JOHN MINJA AMVISHA CHEO CHA KAMISHNA MSAIDIZI AFISA MWANDAMIZI WA MAGEREZA ALIYEKUWA AKIHUDUMU KATIKA MAANDALIZI YA PROGRAMU ZA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon Matani ambaye alikuwa Nchini Namibia kwa jukumu la kuandaa Pogramu za Mafunzo ya Uendeshaji wa Magereza wa nchi hiyo kwa muda wa miaka miwili mfululizo. Hafla hiyo imefanyika leo Septemba 3, 2016 Makao Makuu ya Magereza, Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha Kofia ya cheo cha Kamishna...

 

2 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NA MKURUGENZI TBA WAKAGUA MAENEO YATAKAYOJENGWA NYUMBA ZA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Majengo, Bw. Elius Mwakalinga akisalimiana na Baadhi ya Maafisa na askari wa Jeshi la Magereza Mkoani Dar es Salaam alipofanya ziara ya kukagua maeneo mbalimbali yatakayojengwa nyumba za Maafisa na askari wa Jeshi hilo leo Novemba 30, 2016.  Kamishna Jenerali wa Magereza - CGP. John Casmir Minja(katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Majengo, Bw. Elius Mwakalinga wakiangalia moja ya eneo la Gereza Segerea ambalo litajengwa nyumba za kuishi za...

 

4 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR

  Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa,  CPL. Catherina Lange(hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha ambaye ambaye hushiriki mashindano mbalimbali ya riadha ya Kitaifa na Kimataifa hivyo kuliletea sifa Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla. hafla hiyo imefanyika leo Januari 13, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Da res Salaam.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,...

 

4 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum ya Heshima iliyoandaliwa na Maafisa wa Jeshi la Magereza katika hafla ya uvishaji vyeo kwa Maafisa waliopandishwa vyeo ngazi mbalimbali(jana) Machi 20, 2015 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam.Bendi ya Jeshi la Magereza ikipita mbele ya Mgeni rasmi Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) kutoa heshima baada ya zoezi la uvishaji vyeo Maafisa 77 wa vyeo...

 

3 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akifungua Kikao Maalum cha Wadau kutoka nje ya Magereza(hawapo pichani) cha kujadili rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa kujitosheleza kwa chakula cha Wafungwa waliopo Magerezani. Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 8, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Beatus Kundy(aliyesimama) akiwasilisha rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani