Kampuni 980 kuilipa Serikali Sh16 bilioni

Serikali inatarajia kukusanya Sh16 bilioni kupitia kampuni zaidi ya 980 zilizokopeshwa fedha za kigeni kwa ajili ya kuagiza bidhaa na malighafi kutoka nje ya nchi katika kipindi cha mwaka 1980 hadi 2004.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Serikali kuilipa PSPF bilioni 50/-

KATIKA mwaka huu wa fedha serikali inatarajia kuulipa Mfuko wa Penseni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) jumla ya Sh bilioni 50, huku ikiwa imelipa Sh bilioni 60, mwaka jana. Malipo hayo yanatokana na deni la serikali katika mfuko huo.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Kampuni ya Tanzanite One yakubali kuilipa Serikali fidia

Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite One imekubali kuilipa Serikali fidia na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwapo hapo awali.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 16, 2018  na Naibu Mkurugenzi Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu inasema makubaliano  hayo yametiwa saini jijini Dar es Salaam na mwenyekiti wa kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Paramagamba Kabudi na Mkurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma.

Akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano hayo,...

 

11 months ago

Michuzi

KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA TANZANITE ONE YAKUBALI KUILIPA SERIKALI FIDIA MARA BAADA YA KUFIKIA MAKUBALIANO Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya kufikia makubaliano na  Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini ambayo imekubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba.  
 Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akibadilishana hati za Makubaliano na Mkurugenzi wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Acacia kuilipa TRA zaidi ya Sh40 bilioni

Baada ya kutuhumiwa kukwepa kodi kwa miaka mitatu mfululizo, kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya Acacia imesema inatarajia kulipa kodi ya zaidi ya Sh40 bilioni mwaka huu wa fedha.

 

2 years ago

Malunde

KAMPUNI YA PUMA YAKABIDHI GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Dk. Ben Moshi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. bilioni 7 ikiwa ni gawio la serikali yenye hisa ya asilimia 50 katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Philippe Corsalettti.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akimshukuru Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...

 

2 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YATOA GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7

SERIKALI imekubali kulifanyia kazi ombi la Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy la kutaka taasisi za umma ziweze kununua mafuta ya kampuni hiyo yenye ubia wa asilimia 50 kwa 50 na Serikali ili faida inayopatikana itumike kwenye kutatua changamoto za Watanzania.
Kauli hiyo imetolewa Mjini Dodoma mapema leo baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Puma Dk Ben Moshi kutoa ombi hilo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango wakati wa tukio la kampuni hiyo kutoa gawio la Sh bilioni 7...

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali yazizunguka kampuni za madini, kodi mpya kuongeza Sh46.7 bilioni

Kodi mpya ya asilimia moja iliyoongezwa katika madini yatakayokuwa yanasafirishwa nje, itaipatia Tanzania zaidi ya nusu ya mapato ambayo nchi ilikuwa inapata katika mirabaha inayolipwa na kampuni za uchimbaji.

 

3 years ago

Channelten

Kampuni ya mafuta ya serikali ya Nigeria imezuwia kiasi cha dola bilioni 16 na laki mbili

Refinery_buyers_crude2

Kampuni ya mafuta ya serikali ya Nigeria inasemekana kuwa imezuwia kiasi cha dola bilioni 16 na laki mbili zinazotokana na mauzo ya mafuta machafu ya mwaka 2014, haya ni kwa mujibu wa ripoti ya serikali iliyotolewa na mkaguzi mkuu Samuel Ukura.

Wakati akiwa anawasilisha ripoti hiyo bungeni siku ya Jumatatu, Ukura amesema jumla ya dola milioni 235 na laki saba zilizopatikana kutokana na mauzo ya gesi pia hazukufikishwa serikalini, badala yake zimehamishiwa katika akaunti zisizojulikana za...

 

2 years ago

RFI

Kampuni ya Barrick yakubali kuilipa Tanzania dola za Marekani milioni 300

Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold ambayo hivi karibuni iliingia kwenye mgogoro na Serikali ya Tanzania, imekubali kuilipa Serikali kiasi cha dola za Marekani milioni 300.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani