Kampuni ya Auxin ya China yaonesha nia kuwekeza kwenye kiwanda cha Baruti

Na Asteria MuhozyaWaziri wa Madini Angellah Kairuki amekutana na Wawakilishi wa Kampuni ya Auxin ya China ambao wameonesha nia ya Kujenga Kiwanda cha Baruti nchini.Ujumbe wa kampuni hiyo umemweleza Waziri Kairuki lengo la kukutana naye kuwa ni kutaka kujua taratibu mbalimbali ikiwemo za Kisheria ili kujua namna ambavyo kinaweza kujenga kiwanda hicho nchini.Akizungumza katika kikao hicho Waziri Kairuki amewaeleza wawakilishi hao kuwa, endapo kampuni husika itapata fursa ya kuwekeza nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA STATE GRID YA CHINA YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE UMEME

Kampuni ya State Grid ya China imeonesha nia ya kuwekeza katika Mradi wa Kujenga Njia ya umeme ya Msongo wa kV 400 ya kutoka Mchuchuma hadi Makambako.
Hayo yamebainika katika kikao kati ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing aliyeambatana na ujumbe huo wa kampuni hiyo.
Profesa Muhongo alichukua fursa hiyo kuieleza kampuni hiyo kuhusu Hazina iliyopo nchini ya Makaa ya Mawe na kusema kuwa, bado Serikali inatafuta wawekezaji ambao...

 

3 years ago

Michuzi

China yaonesha nia ya kuwekeza kwenye sekta ya nishati

Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Wawekezaji kutoka  katika makampuni yanayojihusisha na uzalishaji wa nishati ya umeme kutoka nchini China, wameeleza nia ya kuwekeza kwenye  sekta ya nishati  nchini  ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi.
Waliyasema hayo katika kikao na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo pamoja na wataalam kutoka  Wizara ya Nishati na Madini  pamoja na  taasisi  mbalimbali ikiwa...

 

3 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA RAM NUCLEAR KUTOKA SENNINGERBERG YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE UMEME WA URANIUM

Meneja Mkuu kutoka Kampuni ya Ram Nuclear yenye makazi yake Senningerberg, Bastian Ringsdorf (mbele wa kwanza kulia) akielezea uzoefu wa kampuni hiyo katika uzalishaji wa umeme kwa kutumia madini ya urani katika kikao chake na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi zake.Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Meneja Mkuu kutoka...

 

2 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA HYUNDAI E & C YAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI

Na Rhoda James

Wizara ya Nishati na Madini imekutana na Kampuni ya Hyundai E & C ya Korea Kusini ambayo imeonesha nia ya kuwekeza katika vyanzo vipya vya nishati nchini.

Kampuni hiyo na Wizara wamekutana jijini Dar es Salaam ambapo kikao hicho pia kimehudhuriwa na taasisi zilizo chini ya Wizara likiwemo Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Shirika la Madini ya Taifa (STAMICO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Akizungumzia kuhusu...

 

1 year ago

Michuzi

SWEDEN YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE MIRADI YA NISHATI

Serikali inatumia mikopo inayoipata kutoka kwa wadau wa Maendeleo kwenye miradi ya uzalishaji na Miundombinu ili iweze kuwa na tija kwa Jamii na Serikali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt, Jijini Dar es Salaam.
Amesema kuwa, Serikali imejipanga kulipa madeni kwa wadau mbalimbali baada ya madeni hayo kuhakikiwa, hata hivyo amesema kuwa hatua za kukopa...

 

2 years ago

Michuzi

IRAN YAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI


Na Veronica Simba – Dodoma

Balozi mpya wa Iran hapa nchini, Mousa Farhang amemtembelea Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa ajili ya kujitambulisha na kuzungumzia uwezekano wa nchi za Tanzania na Iran kushirikiana katika sekta za nishati na madini.

Balozi Farhang alimtembelea Profesa Muhongo jana, Aprili 28, 2017 ofisini kwake mjini Dodoma.

Akizungumzia nia ya nchi yake kushirikiana na Tanzania katika sekta ya nishati, Balozi Farhang alimwambia Waziri Muhongo kuwa...

 

2 years ago

Michuzi

KOREA KUSINI YAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA

                           Watanzania waliosoma Nchi Korea Kusini wameunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya Tano ya kujenga uchumi wa viwanda kwa kuleta wawekezaji ambao wanataka kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya nguo, vifaa tiba, uzalishaji wa nishati ya umeme wa jua, kilimo na katika sekta ya Sanaa,utamaduni na michezo.
Mwenyekiti wa Baraza la Uwekezaji kutoka Korea Kusini hapa nchini Kakono David ametoa kauli hiyo wakati anaongoza Ujumbe wa Baraza la Uwekezaji la Korea Kusini...

 

5 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

1 year ago

Michuzi

FINLAND YAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI NCHINI

Na Veronica Simba – Dodoma.
Ujumbe kutoka Kampuni ya Fortum ya Finland umemtembelea Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kueleza nia yao kuwekeza kwenye sekta ya nishati nchini.Ujumbe huo ukiongozwa na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Pekka Hukka, ulimtembelea Waziri ofisini kwake mjini Dodoma, Januari 16 mwaka huu.
Akiwatambulisha maafisa aliombatana nao, Balozi Hukka alisema ni wawakilishi kutoka Kampuni ya Fortum inayotoa huduma za nishati ya umeme nchini Finland, ambayo hisa zake...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani