Kampuni ya Barrick yakubali kuilipa Tanzania dola za Marekani milioni 300

Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold ambayo hivi karibuni iliingia kwenye mgogoro na Serikali ya Tanzania, imekubali kuilipa Serikali kiasi cha dola za Marekani milioni 300.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Barrick Gold kuilipa Tanzania dola milioni 300 za kimarekani

Kampuni ya inayomiliki migodi ya madini nchini Tanzania, Barrick Gold imekubali kuilipa Serikali ya Tanzania hisa ya asilimia 16 na mgawo wa asilimia hamsini ya mapato

 

1 year ago

Malunde

BARRICK YATENGA DOLA MILIONI 300 KUILIPA TANZANIA,LAKINI INATAKA IRUHUSIWE KUSAFIRISHA MAKINIKIA

Licha ya kupata hasara kwenye robo ya tatu ya mwaka, kampuni ya Barrick imetenga dola 300 milioni za Marekani (zaidi ya Sh660 bilioni) kuilipa Serikali, lakini imeweka sharti; inataka iruhusiwe kusafirisha makinikia.

Acacia, kampuni tanzu ya Barrick na inayomiliki migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi, imezuiwa tangu mwezi Machi kusafirisha mchanga huo wa madini kwenda kuuyeyusha nje ya nchi kwa ajili ya kupata mabaki ya dhahabu, shaba, fedha na madini mengine yaliyoshindikana kuchenjuliwa...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Kampuni ya Tanzanite One yakubali kuilipa Serikali fidia

Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite One imekubali kuilipa Serikali fidia na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwapo hapo awali.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 16, 2018  na Naibu Mkurugenzi Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu inasema makubaliano  hayo yametiwa saini jijini Dar es Salaam na mwenyekiti wa kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Paramagamba Kabudi na Mkurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma.

Akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano hayo,...

 

11 months ago

Michuzi

KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA TANZANITE ONE YAKUBALI KUILIPA SERIKALI FIDIA MARA BAADA YA KUFIKIA MAKUBALIANO Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya kufikia makubaliano na  Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini ambayo imekubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba.  
 Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akibadilishana hati za Makubaliano na Mkurugenzi wa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Tullow kuilipa Uganda dola milioni 250

Kampuni ya Tullow Oil imesema kuwa itailipa serikali ya Uganda dola milioni 250 baada ya kuafikiana kuhusu mgogoro wa kodi kwa mda mrefu.

 

1 year ago

Malunde

ACACIA WASEMA HAWANA UWEZO WA KULIPA DOLA MILIONI 300 KWA SERIKALI YA TANZANIA

Kampuni ya uchimbaji madini, Acacia (Acacia Mining) imefunguka na kusema kuwa haina uwezo wa kulipa dollar milioni 300 kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kutatua mgogoro wa kodi.

Akiongea jana Oktoba 20, 2017 kwa njia ya simu na chombo cha habari cha Kimataifa cha Uingereza (Reuters) Afisa wa Fedha wa Acacia, Andrew Wray kampuni hiyo haina uwezo wa kulipa fedha hizo kwa serikali ya Tanzania.

Washirika wakubwa wa Acacia, Barrick Gold siku ya juzi Oktoba 19 walikubalina na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Acacia yakubali kuilipa Tanzania

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imekubali kuilipa serikali ya Tanzania nyongeza ya mrabaa wa kati ya asilimia 4 mpaka 6 kama ilivyoainishwa kwenye muswada wa sheria mpya ya madini nchini humo.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATE NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI, TANZANIA KUPATA DOLA MILIONI 575 ZA MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa  Tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bill Gates aliyemtembelea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 10, 2017.
---------------------------------------------------
IKULU, DAR ES SALAAM
Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi Bilioni 777.084 za Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo, afya na mifumo...

 

3 years ago

Mtanzania

Marekani kuipa Tanzania Dola milioni 800

Pg 2Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

SERIKALI ya Marekani imesema itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ilieleza kuwa Balozi wa Marekani nchini Tanzania,  Mark Childress alikuwa na mazungumzo na Rais Dk. John Magufuli   Dar es Salaam jana.

Childress alisema kutolewa kwa fedha hizo ni uthibitisho kuwa kutotolewa kwa fedha za awamu ya pili ya mradi wa changamoto za...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani