Kampuni ya Mercedes yatoa toleo jipya la gari aina ya SUV ili kuchuana na kampuni ya BMW

Kampuni maarufu ya utengenezaji wa magari duniani ya Mercedes-Benz imetoa toleo jipya la gari la kifahari ambalo linatarajiwa kushindana katika soko la biashara ya magari na wapinzani wake wakubwa BMW na LEXUS.

Uamuzi wa kampuni hii maarufu duniani  kutoa toleo jipya la gari la kifahari aina ya GLC43 unafuatia baada ya uhitaji wa watu na wanunuzi wa magari katika soko la biashara ya magari.

Gari hilo jipya aina ya GLC43 lililotoka hivi karibuni linafanana kiasi na toleo la gari hilo la mwaka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mercedes yachuana vikali na BMW, yatoa toleo jipya

Kampuni maarufu ya utengenezaji wa magari duniani ya Mercedez-Benz imetoa toleo jipya la gari la kifahari ambalo linatarajiwa  kushindana katika soko la biashara ya magari na wapinzani wake wakubwa BMW na LEXUS.

Uamuzi wa kampuni hii maarufu duniani  kutoa toleo jipya la gari la kifahari aina ya GLC43 unafuatia baada ya uhitaji wa watu na wanunuzi wa magari katika soko la biashara ya magari.

Gari hilo jipya aina ya GLC43 lililotoka hivi karibuni linafanana kiasi na toleo la gari hilo la...

 

2 years ago

Michuzi

JAYMONDY AKABIDHIWA SIMU TOLEO JIPYA NA KAMPUNI YA TECNO .

\
Afisa mahusiano wa TECNO Mobile Eric Mkomoya (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni ya WashaCheche ns kumkabidhi Raymond Msenga (Jay Mond) wa pili kutoka kushoto zawadi ya simu toleo lao jipya kabisa la simu aina ya TECNO SPARK, kutokana na kampeni iliyopewa kuifanya wiki mbili zilizopita.


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
KAMPUNI ya simu za TECNO imemzawadia zawadi ya simu mchekeshaji Raymond Msenga maarufu kama JayMondy ikiwa ni toleo lao...

 

2 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AMEKABIDHIWA GARI AINA YA WINGLE 5 NA KAMPUNI YA GREAT WALL MOTORS

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhiwa gari aina ya Wingle 5 na Kampuni ya Great Wall Motors ya nchini China kwa kushirikiana na kampuni ya wazawa ya Kifaru Motors (T).
Akielezea sababu ya kukabidhi gari hiyo kwa serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam Meneja Mwandamizi wa Kampuni hiyo nchini Afrika Kusini Jianguo Liu ameeleza kuwa ni kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Meneja Liu ameeleza kuwa gari hiyo inathamani ya shilingi...

 

5 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

5 years ago

GPL

CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class uliofanyika jijini Dar kwenye hoteli ya Capetown Fish Market. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh (wa pili kulia) na Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na...

 

4 years ago

GPL

GARI AINA YA BMW‏ INAUZWA

  Muonekano wa gari aina ya BMW.…

 

5 months ago

Zanzibar 24

Mchumba wa Diamond atambulisha gari lake aina ya BMW

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu msanii Diamond Platnumz kukutana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Kenya Tanasha Dona,

Tanasha ameamua kuitambulisha na kuionesha hadharani gari yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada, Tanasha ameioesha hadharani gari yake hiyo aina ya BMW yenye rangi ya blue.

Tanasha akiwa na Diamond

Tanasha ameitambulisha gari hiyo na kuandika:-
Miss my BEAST baby blue

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AKABIDHIWA GARI AINA YA WINGLE 5 NA KAMPUNI YA GREAT WALL MOTORS

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhiwa gari aina ya Wingle 5 na Kampuni ya Great Wall Motors ya nchini China kwa kushirikiana na kampuni ya wazawa ya Kifaru Motors (T).
Akielezea sababu ya kukabidhi gari hiyo kwa serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam, Meneja Mwandamizi wa Kampuni hiyo nchini Afrika Kusini Jianguo Liu ameeleza kuwa ni kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Meneja Liu ameeleza kuwa gari hiyo inathamani ya shilingi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani