KAMPUNI YA STARTIMES YA ZINDUA BUNDESLIGA

 Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,  Leonard Thadeo akipiga mpira kuelekea golini kwa mlinda mlango,  Maulid Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kuashiria uzinduzi rasmi wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga itayorushwa moja kwa moja kupitia ving’amuzi vya StarTimes nchini. Wanaoshuhudia tukio hilo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wa kwanza kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

TheCitizen

StarTimes gives more Bundesliga trips

Tanzanians have been urged to participate in the StarTimes’ Win a Trip to Germany promotion, dubbed ‘Pasua Anga na StarTimes’, a move that will enable them to watch Bundesliga matches Live in Germany.

 

4 years ago

Habarileo

Uhondo Bundesliga kuanza leo Startimes

LIGI Kuu ya Ujerumani Bundesliga inaanza leo na kwa Tanzania itaonyeshwa moja kwa moja kupitia king’amuzi cha Startimes.

 

2 years ago

Michuzi

StarTimes yazindua msimu wa tatu wa uoneshwaji wa ligi ya Bundesliga 2017/2018


Na Agness Francis, Blogu ya jamii.
Kampuni ya  Startimes Tanzania imezindua uoneshaji wa ligi ya  Bundesliga  mwaka 2017/2018 ambayo itarushwa mubashara kupitia  vipindi vya startimes  kwa wapenzi wa soka hapa  nchini
Uzinduzi huo umefanyika  leo jijini Dar es Salaam lengo ni kuwa  kuwafahamisha wapenzi  wa mpira kununua ving’amuzi na   kujiunga na vifurushi  ili kuburudika na mechi hizo ambazo ligi hiyo itakuwa ikiionyeshwa moja kwa moja na startimes.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...

 

3 years ago

Michuzi

PROFESA KILLIAN WA CHUO CHA MKWAWA ASHINDA SAFARI KUTAZAMA BUNDESLIGA UJERUMANI NA STARTIMES

 Mtangazaji wa luninga na redio wa Clouds Media, Bw. Shaffih Dauda (katikati), ambaye pia ni balozi wa kampuni ya StarTimes Tanzania kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, akichezesha droo ya kwanza ya bahati nasibu ya kumpata mshindi wa safari ya kujishindia tiketi kutazama Ligi ya Bundesliga ‘Live’ Ujerumani iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo pamoja naye ni Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni  ya StarTimes Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe...

 

3 years ago

Michuzi

ALI KIBA LADY JAY DEE WAFUNIKA TAMASHA LA SEREBUKA 2016 LILILOANDALIWA NA KAMPUNI YA STARTIMES

 Msanii, Ally Salehe 'Ali Kiba' akishambulia jukwaa wakati akitumbuiza kwenye  tamasha la kutimiza miaka Miwili ya Chaneli ya Startimes Swahili tokea kuanzishwa Kwake. Tamasha hilo lililopewa jina la Serebuka Festival lililofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jana ambapo lilidhaminiwa na Kampuni ya Huawei Tanzania. Msanii, Snura Mushi, akitumbuiza kwenye tamasha hilo. Msanii, Juma Kassim 'Juma Nature, akitumbuiza kwenye tamasha hilo. Msanii Stamina akipagawisha  kwenye tamasha hilo.

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI KANU WA NIGERIA AMBAYE NI BALOZI WA KAMPUNI YA STARTIMES ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WA SHULE YA MSINGI YA MAJI MATITU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maji Matitu Bw.  Abdul Mgomi akimkaribisha mchezaji huyo shuleni hapo. Kutoka kulia ni Mwalimu Shabani Msabaha wa shule hiyo, Mchezaji Kanu na Makamu Rais wa Kampuni ya StarTimes, Zuhura Hanif.
Mchezaji Kanu akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada huo.Hapa Kanu akimkabidhi msaada wa sabuni ya unga Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Abdul Mgomi.Wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa shule hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.Kanu akitoa msaada wa magodoro.Kwa...

 

4 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND YA ZINDUA VIDEO YA WIMBO WA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLUB
Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.
Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Klabu ya Simba SC ya zindua duka la kuuza vifaa vya michezo

IMG_2260

Klabu ya Simba SC ya Jijini Dar es Salaam, wamezindua rasmi duka ambalo litakuwa linauza vitu mbalimabali vyenye nembo ya klabu hiyo kwa lengo la kutengeneza pesa.

IMG_2170
Rais wa klabu ya Simba (katikati) akikata utepe kuzindua duka la kuuza vifaa vya Simba ambalo lipo Dar Free Market Mall Ground Floor

DSC_0350

Rais wa Simba Bw. Evans Aveva amezindua rasmi duka la Simba ambalo lipo katika jengo la Dar FRee Market, eneo la Oysterbay, litakuwa likiuza vifaa vya michezo, jezi, kofia, T-shirts pamoja na vitu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani