Kampuni ya Tanzanite One yakubali kuilipa Serikali fidia

Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite One imekubali kuilipa Serikali fidia na kodi watakayokubaliana kutokana na dosari zilizokuwapo hapo awali.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 16, 2018  na Naibu Mkurugenzi Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu inasema makubaliano  hayo yametiwa saini jijini Dar es Salaam na mwenyekiti wa kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Paramagamba Kabudi na Mkurugenzi wa Tanzanite One, Faisal Juma.

Akizungumza mara baada ya kusaini makubaliano hayo,...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA TANZANITE ONE YAKUBALI KUILIPA SERIKALI FIDIA MARA BAADA YA KUFIKIA MAKUBALIANO Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya kufikia makubaliano na  Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini ambayo imekubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba.  
 Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akibadilishana hati za Makubaliano na Mkurugenzi wa...

 

1 year ago

RFI

Kampuni ya Barrick yakubali kuilipa Tanzania dola za Marekani milioni 300

Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold ambayo hivi karibuni iliingia kwenye mgogoro na Serikali ya Tanzania, imekubali kuilipa Serikali kiasi cha dola za Marekani milioni 300.

 

2 years ago

MwanaHALISI

ACACIA yakubali kuilipa serikali

ACACIA Mining Limited imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia sita (6%) baada ya sheria ya madini kubadilishwa, anaandika Victoria Chance. Kampuni hiyo inayomiliki makampuni ya uchimbaji wa madini ya ACACIA nchini imekubali kulipa mirabaha hiyo iliyowekwa katika sheria mpya ya madini. Sheria hiyo mpya imeitaka kampuni hiyo kulipa asilimia sita ya mirabaha ikiwa ni ongezeko ...

 

2 years ago

Malunde

ACACIA YAKUBALI KUILIPA SERIKALI MRABAHA WA ASILIMIA 6 KWA MUJIBU WA SHERIA MPYA

Kufuatia mabadiliko yaliyofanywa na Bunge katika sheria za usimamizi wa rasilimali nchini, ongezeko la mrabaha unaotarajiwa kulipwa serikali uliongezeka kutoka katika asilimia 4 iliyokuwa katika sheria za zamani.
Katika kuonyesha kukubaliana na mabadiliko hayo, Kampuni ya uchimbaji madini nchini ya Acacia imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia 6 unaoendana na sheria mpya zilizoanza kutumika mwezi huu mwanzoni baada ya kusainiwa na Rais Julai 5.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...

 

3 years ago

Mwananchi

Kampuni 980 kuilipa Serikali Sh16 bilioni

Serikali inatarajia kukusanya Sh16 bilioni kupitia kampuni zaidi ya 980 zilizokopeshwa fedha za kigeni kwa ajili ya kuagiza bidhaa na malighafi kutoka nje ya nchi katika kipindi cha mwaka 1980 hadi 2004.

 

2 years ago

BBCSwahili

Acacia yakubali kuilipa Tanzania

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imekubali kuilipa serikali ya Tanzania nyongeza ya mrabaa wa kati ya asilimia 4 mpaka 6 kama ilivyoainishwa kwenye muswada wa sheria mpya ya madini nchini humo.

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA RAIS YA KUCHUNGUZA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE YAANZA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA TANZANITE ONE

Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi   akisalimiana  jijini Dar es salaam leo Januari 17, 2018   na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One kabla ya kuanza na mazungumzo ambayo yanalenga kuhakikisha Tanzania inanufaika ipasavyo na rasilimali ya madini hayo ambayo yanachimbwa nchini Tanzania pekee. Picha na IKULU

 

4 years ago

BBCSwahili

Shell yakubali kulipa fidia Nigeria

Kampuni kubwa ya mafuta ya Shell imekubali kulipa dola milioni 80 kama fidia.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani