Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia yafadhili ziara ya mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wanafunzi 42 wa mwaka wa tatu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaosomea fani za Uhandisi Migodi na Uhandisi Uchenjuaji Madini, wakiambatana na wahadhiri wao walipata fursa ya kutembelea migodi ya dhahabu ya Bulyanhulu na Buzwagi inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji ya Acacia.
Katika ziara hiyo ya mafunzo iliyofanyika tarehe 11 na 12 mwezi huu, wanafunzi hao pamoja na wahadhiri wao walijionea shughuli za uchimbaji wa madini wa chini ya ardhi katika Mgodi wa Bulyanhulu (Underground...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) wafanya ziara Bungeni Mjini Dodoma

  VIONGOZI mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) leo wametinga Bungeni katika ziara ya kimafunzo na kupokelewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Fenela Mukangara. Wakiwa Bungeni viongozi hao ambao ni Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Mawaziri na Wabunge walijionea namna shughuli za Bunge zinavyoebndeshwa chini ya Spika Anna Makinda. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Febela Mukangara akipiga nao picha. Vijana hao walifika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

3 years ago

Channelten

Shirika la umoja wa mataifa la maendeleo UNDP kwa kushrikiana na chuo kikuu cha Dar es salaam limeendesha kongamano kwa wanafunzi

xUNDP_50_En.png.pagespeed.ic.dYH4mqgrLz

Shirika la umoja wa mataifa la maendeleo UNDP kwa kushrikiana na chuo kikuu cha Dar es salaam limeendesha kongamano kwa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la dsm lengo likiwa ni kuwawezesha vijana hao kitambua fursa zilizopo na kushiriki kwenye maendeleo ya taifa.

Mwakilishi mkazi UNDP Awa Dabo amesema kongamano hilo linaenda sambasamba na maadhimsiho ua miaka 50 tangu kuanzishwa kwake ambapo amesema vijana wa kitanzania wanazo fursa nyingi ambazo endepo watazitumia wataweka mchango...

 

3 years ago

Global Publishers

Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Wagoma

Wanafunzi wa chuo kikuu cha cha Dar es salaam mpaka sasa wamegoma wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili ya kujikimu. Makamu wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshengema amesema mgomo huo ni matokeo ya taarifa zisizoeleweka zilizo kuwa zikitolewa na bodi juu ya lini fedha hizo zitatolewa. Kwa kawaida pesa ya chakula huingiziwa kila baada ya siku 60 na mpaka sasa yapata wiki mbili pesa hiyo haijaingizwa. Mgomo huo unakuja zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Rais...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

2 years ago

Channelten

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

 

3 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WAGOMA

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha cha Dar es salaam, wameendelea na Mgomo wao hadi muda katika Hostel za Mabibo jijini Dar es salaam, wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha za kujikimu. 
Makamu wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshangama amesema mgomo huo ni matokeo ya taarifa zisizoeleweka zilizokuwa zikitolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuhusu lini fedha hizo zitatolewa.
Inadaiwa kuwa pesa hizo kwa kawaida huingiziwa kila baada ya siku 6o, lakini mpaka sasa ni wiki mbili zaidi ya...

 

2 years ago

Malunde

MABWENI MAPYA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUCHUKUA WANAFUNZI 3,840

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amefanya uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Rais Magufuli amesema kukamilika kwa mabweni hayo ya kisasa ndani ya kipindi chini ya miezi minane ni ishara kuwa Tanzania inaweza. “Tukiamua tunaweza tukafanya watu wakaona miujiza,” amesema.

Ameongeza kuwa wapo watu walibeza kuwa shilingi bilioni 10 zisingeweza kukamilisha ujenzi huo na kwamba hawakumiani kuwa yasingeweza kujengwa na Watanzania....

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani