KANDANDA DAY 2016: TEAM ISMAIL YAIBUKA NA USHINDI MNONO WA BAO 4-1 DHIDI YA TEAM DIZO MOJA

TIMU ya soka ‘Team Ismail’ imefanikiwa kuwagaragaza wapinzani wao wa jadi 'Team Dizo Moja' kwa kipigo cha mabao 4-1, katika tamasha la Kandanda day, lililofanyika Jumamosi katika Viwanja vya Jakaya M Kikwete Youth Park.

Kipigo hicho kwa 'Team Dizo', ni mfululizo wa matokeo mazuri ya Team Ismail,ambayo mwaka huu imeonekana kulipiza kisasi cha kuchapwa idadi hiyo ya mabao kama walivyofanya Team Dizo katika msimu wa mwaka 2014.
Mabao ya Team Ismail,yaliwekwa kimiani na Freddy Pastor...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Real Madrid yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Sevilla, Ronaldo kapiga shuti nane, magoli je? (+Video)

2882412_heroa

Burudani ya soka la Hispania liliendelea usiku wa March 20, kwa michezo kupigwa ndani ya ardhi ya Hispania, Real Madrid ambao bado hawana matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Ligi hiyo kutokana na kuzidiwa point kumi na wapinzani wao wa jadi FC Barcelona, wamecheza dhidi ya Sevilla. Katika mchezo huo wa Real Madrid dhidi ya Sevilla katika […]

The post Real Madrid yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Sevilla, Ronaldo kapiga shuti nane, magoli je? (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mbwana Samatta atupia bao lingine, Klabu yake ya Genk ikiibuka na ushindi mnono wa 4-1

Mtanzania anayekipigia klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji ameendelea kuwika baada ya usiku wa leo kuweza kuifungia moja ya mabao klabu yake hiyo ambayo iliibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya wapinzani wao Oostende.

Ushindi huo wa leo Machi 13.2016, Kwa Mtanzania Mbwana Samatta anakuwa anafikisha magoli mawili (2) tokea alipojiunga na timu hiyo. Ushindi huo unakuwa wa pili dhidi ya Mbwana Samatta tokea kujiunga na klabu hiyo.

Imeandaliwa  na Andrew Chale, Modewjiblog, Kwa msaada wa mashirika...

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YAANZA LIGI KWA USHINDI MNONO, YAICHAPA AFRICAN LYON BAO 3-0 LEO

TIMU ya African Lyon leo imeweza kupoteza mchezo wao baada ya kukubali kipigo cha goli 3-0 kutoka kwa Yanga. Huku Kocha mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans Van De Pluijm amesema kuwa wachezaji wake wametumia nafasi walizozipata ila mabadiliko ya kipindi cha pili yameweza kubadilisha mfumo wa ushambuliaji.
Pluijm amesifia wachezaji wake kwa kupambana katika dakika zote 90 na kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu.
Akitoa tathmini ya mchezo mzima, Pluijm amesema kuwa African Lyon ni moja ya timu nzuri...

 

1 year ago

Bongo Movies

Mpasuko,Aslay Kubomoa Team Kiba, Team Diamond Leo?

HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani Bongo.

Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao soko la ushindani limezidi kujidhihirisha kadiri muda unavyokwenda na kuwafanya wazidi kufanya vizuri.

Licha...

 

11 months ago

Michuzi

TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Ali Kiba  na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva  katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo , Katika mchezo huo Team Samatta imeifunga Team Kiba magoli 4-2 na kuibuka washindi wa mchezo huo mbele ya mashabiki wao waliojitokeza kwenye uwanja wa Taifa leo, Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na Kiwanda cha Maziwa ya ASAS DAIRIERS cha Iringa
Na Zainab Nyamka, Globu ya...

 

5 years ago

Michuzi

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU

Mr. Iddi Sandaly,
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...

 

3 years ago

Michuzi

EFM REDIO TEAM YAISAMBARATISHA BONGO FLEVA FC KWA BAO 4-3

Mechi ya kirafiki iliyochezwa jumapili ya Juni 06, 2016 baina ya EFM redio na bongo fleva imevutia mashabiki wapande zote mbili ambapo EFM ilishinda kwa magoli 4-3 dhidi ya Bongo Fleva 
Mechi hiyo iliyopigwa katika Uwanja wa Tanganyika Packas, Kawe Jijini Dar es salaam, ililenga kuimarisha afya, kukuza urafiki uliopo kati ya EFM redio na wasanii wa bongo fleva pamoja na kufahamiana zaidi.Kikosi kamili cha EFM REDIO.Kikosi cha BONGO FLEVA FC.Kiungo mchezeshaji wa timu ya Bongo Fleva Fc, KR...

 

5 years ago

TheCitizen

We don’t fear SA team, says Dar team coach

Newly appointed Serengeti Boys coach, Hababuu Omari says his team have nothing to fear ahead of the 2015 Africa Youth Championship qualifier against South Africa’s Amajimbos.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani