KANGI LUGOLA AOMBA KUVAA KININJA ILI ACHANGIE RIPOTI YA TEGETA ESCROW BUNGENI

MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi mkono vitendo viovu japo alikataliwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Lugola aomba kuchangia amevaa ‘kininja’

Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola alimwomba ruhusa Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu avae ‘kininja’ ili asiwaonee aibu walioiba fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow wakati akichangia mjadala bungeni.

 

4 years ago

GPL

KANGI LUGOLA AWASHA MOTO BUNGENI

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe kama maji hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika majiadiliano ya hoja za kamati bungeni leo. Pia Lugola amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji wanaokiuka masharti ya uwekezaji na kuwanyanyasa...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Unamkumbuka Mbunge Kangi Lugola? Leo ana hizi sentensi zake bungeni

AW1A7485

Mei 3 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya  Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuwasilisha bajeti yakeya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Waziri husika akiwa ni  Mwigulu  Nchemba ambaye ndio alipata nafasi ya kuwasilisha bajeti hiyo. Baada ya kuwasilishwa Wabunge mbalimbali walipewa nafasi pia ya kuchangia maoni yao kuhusu bajeti hiyo ambapo hapa nakukutanisha […]

The post VIDEO: Unamkumbuka Mbunge Kangi Lugola? Leo ana hizi sentensi zake bungeni appeared first on...

 

4 years ago

GPL

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la". Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…

 

4 years ago

Vijimambo

Angalia kasheshe la Tegeta Escrow LIVE bungeni

Angalia kasheshe la Tegeta Escrow LIVE bungeni kupitia hii link:http://www.cloudstv.com/#catalog/5824/clouds-tv
  Au sikiliza kwenye simu yako kupitiahttp://m.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio

 

4 years ago

GPL

TEGETA ESCROW: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO ATOA UTETEZI WA SERIKALI BUNGENI

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Ameanza kwa kuomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme. Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukrani kwa CAG, TAKUKURU kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu. Spika wa Bunge,...

 

4 years ago

GPL

SOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA…

 

4 years ago

Vijimambo

HII NDIO MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA USOME TAARIFA KAMILI

 

3 years ago

Mtanzania

Kangi Lugola amshambulia Lowassa

IMG_0143Na Ahmed Makongo, Mwibara

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mwibara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kangi Lugola, amemshambulia kwa maneno makali mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kuwa umati wa watu wanaofurika kwenye mikutano yake haumaanishi kumkubali isipokuwa una sababu zaidi ya hiyo.

Lugola aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, uliofanyika Uwanja wa Kata ya Kisorya katika Jimbo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani