KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU-KATIBU MKUU WA CCM,KINANA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Stendi ya Manyoni, wllayani Manyoni, Singida leo. "Katiba tunaitaka, lakini isiwe ya  mazingaombwe ya kukoroga vichwa vya watu. ndugu msitoane macho, tusing'oane meno kwa ajili ya katiba ambayo hata ikija mpya haiwezi kugeuza chai ya rangi kuwa ya maziwa"  alisema Kinana akatika mkutano huo.Ndugu Kinana yupo mkoani humo kwa ziara ya siku 8 akitokea mkoani Tabora ambako alikuwa na ziara ya siku 11.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM: KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua nyumba hiyo ya zamani iliyokuwa inatumiwa na Mfugaji Mihangwa, kabla ya kujenga nyumba ya kisasa katika Kijiji cha Heka, wilayani Manyoni Singida.   Kinana akiangalia mifungo ya Mfugaji Mihangwa iliyobakia baada ya kuuza mingine kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa. Mihangwa  anasema aliamua kuuza ng'ombe 200 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa.… ...

 

12 months ago

Malunde

KATIBU MKUU MPYA WA CCM 'DK BASHIRU' AIPOTEZEA KIAINA KATIBA MPYA

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi, Dk Bashiru Ally amesema msimamo wake kuhusu mabadiliko ya Katiba utakuwa tofauti na ule aliokuwa nao awali kabla ya kuingia kwenye siasa na atafuata maelekezo ya Chama chake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa katibu mkuu, Abdulrahman Kinana, Dk Bashiru aliyekuwa akitetea mabadiliko ya Katiba amesema msimamo huo aliutoa kwa kuwa alikuwa huru.
"Leo nazungumza kama Katibu Mkuu, yaani swali lako lina majibu humo...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Huyu ndie Katibu Mkuu mpya wa CCM baada ya Abdulrahman Kinana kujiuzulu

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) imempitisha Dkt. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.

Dkt. Bashiru ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Tume maalum ya kuchunguza mali za CCM iliyoundwa na Rais Magufuli.

Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ali akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamedi baada ya jina lake kupendekezwa na kisha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM kulipitisha kwa kauli...

 

12 months ago

Malunde

KINANA AMKABIDHI RASMI OFISI KATIBU MKUU MPYA WA CCM DKT. BASHIRU

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amemkabidhi nyaraka kama ishara ya kumkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Dkt. Bashiru Ali katika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo Alhamis Mei 31,2018.
Kinana aliomba kujiuzulu nafasi hiyo kutokana na kuitumikia kwa muda mrefu na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa alimkubalia na kumpendekeza Bashiru ambaye alipitishwa na Kamati Kuu ya CCM.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Picha: Kinana akabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa CCM Dkt. Bashiru

Mei 28 mwaka huu, Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilipokea ombi la Abdulrahman Kinana kustaafu kwa Katibu Mkuu wa CCM, ombi ambalo liliridhiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Dkt. John Pombe Magufuli.

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Mei 29 mwaka huu ilimpitisha Dkt. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana.

Hatimae leo Kinana amemkabidhi nyaraka kama ishara ya kumkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu...

 

4 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE JIJINI MWANZA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani