KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DC WA MISUNGWI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda ( wa pili kulia) wakati alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga(kulia) alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bw.Elliurd...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani pamoja na viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akutana na Watendaji wa Mkoa wa Katavi

Katibu Tawala Mkoa wa Katavi akimwongoza Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mama Anna Maembe wakati akikagua eneo la chuo cha maendeleo Msaginya wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo anaye mfuatia kushoto kwa Katibu Mkuu ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya Nsimbo Alex Magesa Na Mwisho mwenye SUTI YA kijivu ni Mkuu wa Chuo Msaginya Peter Kikunda ambaye ni mwenyeji akiwatembeza wageni. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na...

 

2 years ago

Michuzi

MAVUNDE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA WATANZANIA WANAOSOMA NCHINI CHINA

 Jana tarehe 28 Agosti, 2017 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Jumuiya za Wanafunzi watanzania wanaosoma katika Jamhuri ya watu wa China (TASAFIC) Bw. Remidius Mwema Emmmanuel alikutana na kufanya mazungumzo na Naibu waziri wa Vijana, Kazi na Ajira Nchini Tanzania Mhe. Anthony Mavunde. 

 Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine yalilenga ufahamu juu ya nafasi ya vijana wa kitanzania wanaohitimu masomo yao nje ya nchi hususani China namna ambavyo...

 

1 year ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Kale wa Serikali ya Kifalme ya Oman

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Kale wa Serikali ya  Kifalme ya Oman Bwana Salum Mohamed Al – Mahrooqi alisema uwepo wa Jumla la Ajabu liliopo Forodhani Mji Mkongwe maarufu {Beit Al Ajaib}utaendelea kuwa utambulisho wa Zanzibar Kimataifa katika masuala ya Kihistoria na Utamaduni.
Alisema Jengo hilo Maarufu ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki na Dunia    tokea Karne ya 17 linastahiki kufanyiwa matengenezo makubwa ili kulirejeshea hadhi yake ya kawaida na Oman tayari imeshajitolea kugharamia...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU UMOJA WA MATAIFA (UN) PIA AHUDHURIA MKUTANO WA AU MJINI ADDIS ABABA ETHIOPIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Marais wa wa mataifa mbalimbali  katika mkutano wa AU unaoendelea mjini Addis Abba nchini Ethiopia.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel Olveira Guterres kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ofisi za  Makao Makuu ya Umoja wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

2 years ago

CCM Blog

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA RUKWA MHE; ZELOTE STEPHEN ZELOTE


Mhe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote Stephen Zelote wa kwanza kushoto akimpokea kaimu katibu mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipowasili ofisi za Mkoa kuzungumza Mambo mbali mbali ya kimaendelea pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akizungumza Mambo mbali mbali ya kimaendelea pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015 pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Zelote Stephen Zelote wa kwanza kulia.
 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA MAENDELEO WA ABU DHABI MOHAMED AL SUWAIDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi Mohamed Al Suwaidi aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Abdullah Ibrahim Al Suwaidi aliyefika Ikulu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi Mohamed Al Suwaidi kwa ajili ya mazungumzo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA MASUALA YA MASUALA YA SIASA NA MAENDELEO YA JAMII WA SEKRETARIETI YA ACP

Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP anayesimamia masuala ya siasa na maendeleo ya jamii Mhe. Michele Dominique Raymond. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kukutana na viongozi mbalimbali wa Sekretarieti ya ACP Brussels kwa lengo la kuelewa vyema changamoto zinazokabili ACP na kubaini masuala kipaumbele wakati wa kipindi chake cha uenyekiti...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani