Katibu Mkuu mpya UWT akabidhiwa Ofisi rasmi,awataka wanawake kushikamana kujiletea maendeleo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wa hafla ya utambulisho wa Katibu Mkuu mpya wa Umoja huo Mwalimu Queen Mlozi pamoja na kukabidhiwa Ofisi rasmi hapo jana jijini Dar.Katibu Mkuu UWT aliemaliza muda wake Amina Makilagi akimuelekeza jambo Katibu Mkuu mpya UWT Mwalimu Queen Mlozi wakati wa mabdhiano ya Ofisi hapo jana Jijini Dar es salam,Mlozi ,amewataka wanawake kuwa wamoja na kushikamana katika mambo mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

CCM Blog

KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO

 Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama Baadhi ya Viongozi wakijiandaa kumlaki Katibu Mkuu huyo mpya Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiimba nyimbo za hamasa wakati wakisubiri ujio wa Katibu Mkuu huyo wa Jumuiya yao leo Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiimba nyimbo za...

 

10 months ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO

 Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama  Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi, Erasto Sima (kushoto) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed wakati akizungumza katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama  Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi...

 

10 months ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA ERASTO SIMA AKABIDHIWA OFISI RASMI

Na Elisa Shunda VIONGOZI na Wanachama wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameungana kwa pamoja na Katibu Mkuu Mstaafu wa jumuiya hiyo Anayemaliza Muda wake,Seif Shaban Mohamed kumpokea Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya hiyo Erasto Sima katika hafla fupi ya makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya jumuiya hiyo zilizopo Kariakoo jijini Dar es Salaam Ijumaa. Akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi Katibu Erasto Sima alisema kuwa mojawapo ya vipaumbele vyake...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI UTALII UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR AKABIDHIWA OFISI RASMI

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari  Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto akikabithiwa nyaraka  na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo  Kikwajuni Mjini Unguja.Katibu Mkuu Wizara ya Habari  Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai wakitiliana saini katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MPYA WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKABIDHIWA OFISI

  KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT.ADELHELM  JAMES MERU AKIFANYA MAKABIDHIANO YA OFISI  NA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALISILI NA UTALII, BI. MAIMUNA  TARISHI YALIYOFANYIKA JANA JIONI TAREHE 17/11/2014  MPINGO HOUSE JIJINI DAR ES SALAAM.          
 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Maimuna  Tarishi, akimkabidhi vitendea kazi  Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Adelhelm  James Meru, yaliyofanyika jana jioni tarehe...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU MPYA WA WILAYA YA KISHAPU MKOANI SHINYANGA AKABIDHIWA RASMI OFISI

Mkuu mpya wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Taraba akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilayani humo leo wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi. Katika hafla hiyo, Taraba aliwataka watendaji wa wilaya hiyo kujituma kufanya kazi kwa uadilifu, ushirikiano pamoja na kuwa waadilifu katika kuwatumika wananchi. Aidha, alimpongeza Mkuu wa wilaya hiyo aliyestaafu, Hawa Ngh’umbi kwa utendaji wake huku akiahidi kuendelea kuchota hekima zake.Mkuu wa Wilaya...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU NKINGA AWATAKA WADAU KUTOA MAONI YA UBORESHAJI WA SERA YA MAENDELEO YA WANAWAKE NA JINSIA TANZANIA

Na Erasto Ching’oro- WAMJW.
Katika kuhakikisha Taifa linakuwa na Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ambayo ni shirikishi, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa kikao kazi kwa ajili ya kukusanya maoni zaidi yatakayosaidia kuhuisha sera hiyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi Sihaba Nkinga mara baada ya kikao na wadau kutoka taasisi mbalimbali katika mwendelezo wa mchakato wa ukusanyaji wa maoni ya ambayo yatasaidia kubaini mapungufu, na...

 

10 months ago

CCM Blog

KINANA AMKABIDHI RASMI OFISI KATIBU MKUU MPYA DK. BASHIRU, LEO

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi 'zana' Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ally, katika makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akiwasalimia baadhi ya viongozi alipowasili, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana kwa furaha na Katibu Mkuu CCM Dk. Bashiru Ally,...

 

10 months ago

Malunde

KINANA AMKABIDHI RASMI OFISI KATIBU MKUU MPYA WA CCM DKT. BASHIRU

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amemkabidhi nyaraka kama ishara ya kumkabidhi rasmi ofisi Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Dkt. Bashiru Ali katika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo Alhamis Mei 31,2018.
Kinana aliomba kujiuzulu nafasi hiyo kutokana na kuitumikia kwa muda mrefu na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa alimkubalia na kumpendekeza Bashiru ambaye alipitishwa na Kamati Kuu ya CCM.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani