KATIBU MKUU WA CCM: KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua nyumba hiyo ya zamani iliyokuwa inatumiwa na Mfugaji Mihangwa, kabla ya kujenga nyumba ya kisasa katika Kijiji cha Heka, wilayani Manyoni Singida.   Kinana akiangalia mifungo ya Mfugaji Mihangwa iliyobakia baada ya kuuza mingine kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa. Mihangwa  anasema aliamua kuuza ng'ombe 200 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBA MPYA TUNAITAKA,LAKINI ISIWE YA KUKOROGA VICHWA VYA WATU-KATIBU MKUU WA CCM,KINANA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Stendi ya Manyoni, wllayani Manyoni, Singida leo. "Katiba tunaitaka, lakini isiwe ya  mazingaombwe ya kukoroga vichwa vya watu. ndugu msitoane macho, tusing'oane meno kwa ajili ya katiba ambayo hata ikija mpya haiwezi kugeuza chai ya rangi kuwa ya maziwa"  alisema Kinana akatika mkutano huo.Ndugu Kinana yupo mkoani humo kwa ziara ya siku 8 akitokea mkoani Tabora ambako alikuwa na ziara ya siku 11.

 

12 months ago

Malunde

KATIBU MKUU MPYA WA CCM 'DK BASHIRU' AIPOTEZEA KIAINA KATIBA MPYA

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi, Dk Bashiru Ally amesema msimamo wake kuhusu mabadiliko ya Katiba utakuwa tofauti na ule aliokuwa nao awali kabla ya kuingia kwenye siasa na atafuata maelekezo ya Chama chake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa katibu mkuu, Abdulrahman Kinana, Dk Bashiru aliyekuwa akitetea mabadiliko ya Katiba amesema msimamo huo aliutoa kwa kuwa alikuwa huru.
"Leo nazungumza kama Katibu Mkuu, yaani swali lako lina majibu humo...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Naibu Katibu Mkuu mpya aahidi kusimamia kwa vitendo katiba ya CCM


NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ndugu Othman Ally Maulid akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Ofisi rasmi katika hafla iliyofanyika leo katika Afisi Kuu ya Wazazi Kikwajuni Unguja.

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Ndugu Othman Ally Maulid amesema atasimamia kwa vitendo ibara ya Tano ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo jipya la mwaka 2017 inayoelekeza kuwa Ushindi wa CCM ni lazima kwa kila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Chaguzi ndogo...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZEA BREAKPAD ZA VICHWA VYA TRENI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Mhandisi Benhadard Tito, wakati akimwelezea namna kiwanda cha kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kilivyokuwa kinafanya kazi, na sasa hakifanyi kazi, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea kiwanda hicho leo asubuhi, Katibu Mkuu ameipa wiki mbili kampuni hiyo na Shirika la Reli Tanzani (TRL) kuuanda timu na kufanya tathmini ya...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA KARAKANA YA KUTENGENEZEA BREAKPAD ZA VICHWA VYA TRENI LEO JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi atembelea karakana kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kinachomilikiwa na kampuni miliki ya rasilimali za Reli(RAHCO) leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka (wa nne kutoka kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Mhandisi Benhadard Tito, wakati akimwelezea namna karakana ya  kutengenezea breakpad za vichwa vya treni kilivyokuwa kinafanya kazi, na sasa...

 

5 years ago

Habarileo

Katiba mpya isiwe ugomvi

RAIS Jakaya Kikwete amesema Katiba mpya haitapatikana kwa ngumi na mateke na wala si ugomvi, bali itapatikana kwa ushawishi wa hoja na kura.

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM-BARA, AWATAKA USHIRIKIANO WATUMISHI WA CCM KUTATUA CHANGAMOTO

Na Bashir Nkoromo
Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, amesema, anazitambua changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa Chama Cha Mapinduzi na kuahidi kushirikiana na wafanyakazi hao kuzipatia ufumbuzi.

Mpogolo amekutana na wafanyakazi hao ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika jana, Ikulu jijini Dar es Salaam.

"Mimi nimekuwa katika chama hiki mda mrefu sana, kwa hiyo sehemu kubwa ya changamoto...

 

12 months ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein wakiwa na 'mlima' wa makabrasha ya ripoti ya uhakiki wa mali za chama baada ya kukabidhiwa na tume aliyounda kuchunguza mali hizo ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018 Wa kwanza kushoto ni Dkt Bashiru Ali Kakurwa ni Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na ...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM RODRICK MPOGOLO AKABIDHI MADAWATI 200 YALITOLEWA NA CCM MKOANI MOROGORO LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Steven Kebwe alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya mkoa huo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Katika ziara hiyo alimkabidhi mkuu huyo wa mkoa madawati 200 yaliyotolewa na CCM mkoa huo na baadaye alifungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogo Innocent Kalogeris  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mkuu wa wilaya ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani