KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke kuhusu Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Ushirikiano wa Afrika na China (FOCAC) utakaofanyika mwezi Septemba, 2018 nchini China. Mkutano huo ambao utajadili masuala mbalimbali kwa maendeleo ya Bara la Afrika utatanguliwa na vikao vya maafisa waandamizi na vile vya mawaziri. Kikao kati ya Prof. Mkenda na Balozi Wang Ke kimefanyika Wizarani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Norway nchini

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi Liberatta Mulamula (Kulia)  akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini, Mhe. Hanne Maria Kaarstad. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Norway.Balozi Kaarstad akimweleza jambo Katibu Mkuu, Balozi MulamulaMazungumzo yakiendelea huku Bi. Tunsume Mwangolombe (kulia), Afisa Mambo ya Nje akisikiliza kwa makini.
Picha na Reginald Philip.

 

1 year ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA FINLAND NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akimkaribisha Wizarani Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka alipofika kwa ajili ya kujitambulisha kwake kama Katibu Mkuu mpya na kuzungumzia jinsi ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Finland. Mazungumzo hayo yalifanyika Wizarani tarehe 09 Novemba, 2017.  Prof. Mkenda akimweleza jambo Balozi Hukka wakati wa mazungumzo yao. Pamoja na mambo mengine wlizungumzia kuimarisha...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA EXIM YA CHINA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima akiwa katika mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim ya China, Bi. Zhang Shuo alipofika Wizarani kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Bi. Zhang alieleza nia ya Benki yake kuendelea kushirikiana na Tanzania katika Sekta ya Viwanda. Mazungumzo hayo yalifanyika Wizarani tarehe 07 Juni, 2016.Sehemu ya ujumbe ulioongozana na Bi. Zhang wakifuatilia mazungumzo. 
Mkurugenzi wa Idara ya Asia...

 

4 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA AMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youquig alipomtembelea Wizarani kwa mazungumzo ya kudumisha ushirikiano wa nchi hizi mbili.Mkalimani wa Balozi wa China Bi.Wang Fang akisalimiana na Katibu Mkuu
Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youqing akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula.Katibu Mkuu, Balozi Mulamula...

 

4 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Balozi wa China nchini

Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akutana na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing,  kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yatakayofanyika nchini China mwezi Oktoba 2014.  Maafisa kutoka Hazina na Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo hayo kwa makini. Maafisa walioambatana na Balozi wa China wakinukuu mazungumzo kati ya Balozi Mbelwa na Balozi Lu Youqing (hawapo pichani).Kikao kikiendelea.Picha na Reginald...

 

4 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini Bw. Sana F.K. Jatta, alipokuja kumtembelea na kujadili juu ya ziara ya  Rais wa IFAD Mhe. Kanayo Nwanze mwezi Agosti 2015Mmoja wa wajumbe aliyeambatana na Bw. Jatta akifafanua jambo kwa Balozi Mulamula.Mazungumzo yakiendelea

 

3 weeks ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akizungumza na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Bw. Alvaro Rodriguez alipofika Wizarani tarehe 11 Juni, 2018 kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Serikali ya Tanzania pamoja na utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG's) hapa nchini. Kwa upande wake, Prof....

 

1 year ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI TANZANIA

 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leoKatibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo  Mazungumzo yakiendelea  Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake, Balozi wa...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AMUAGA BALOZI WA BRAZIL ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula kwa pamoja na Mkuu wa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini ambaye pia ni Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mhe. Juma Halfan Mpango wakimsikiliza kwa furaha Balozi wa Brazil aliyemaliza muda wake wa kazi hapa nchini, Mhe.Francisco Suarez Luz (kushoto) kabla ya kuanza kwa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa ajili ya kumuaga Balozi Luz. Hafla hiyo ilifanyika katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani