Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai ajibu hoja ya Mbowe

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akijibu hoja ya Mbowe alisema hakuna sekretarieti ya Bunge kwa ajili ya kuhudumia upinzani tu, bali inahudumia wabunge wote bila kubagua itikadi za vyama.

Kuhusu gari alisema lipo na dereva yupo isipokuwa Mbowe hataki kulitumia.

Mbowe alisema watumishi wa sekretarieti ambao husaidia kuandika hotuba huajiriwa na Bunge kwa mikataba ya miaka miwili baada ya kupendekezwa na kambi ya upinzani bungeni.

Alisema kanuni ya 11 ya kambi rasmi bungeni inazungumza uwepo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII.

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao...

 

2 years ago

Bongo Movies

Fid Q Ajibu Hoja ya Mwakyembe

Msanii Fareed Kubanda ambaye wengi humuita ‘concious rapper’ kutoka bongo, amejibu kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe aliyosema wasanii wasiimbe siasa, na kusema kuwa siyo rahisi kwa wasanii kuacha kitu kitu hicho.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Fid Q amesema Waziri hakuwa sahihi kusema hivyo, kwani siasa ipo kwenye maisha yetu ya kila siku, ambayo wasanii ndiyo kitu ambacho hutazama ili kuweza kufanya kazi zao.

“Nafikiri suala la Waziri...

 

1 year ago

Zanzibar 24

January Makamba ajibu hoja za wabunge kuhusu kero za muungano

Licha ya wabunge hasa wa upinzani kuchachamaa kuhusu kero za Muungano, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba ametumia dakika 30 kujibu hoja hizo walizozieleza wakati wa mjadala wa bajeti ya ofisi hiyo kwa mwaka 2018/19.

Katika mjadala huo wabunge walihoji juu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano kutokuwa na dhamira ya kuisaidia Zanzibar kiuchumi, vikwazo vya kupeleka bidhaa kutoka upande mmoja kwenda mwingine, Zanzibar kutopata mikopo, utozwaji wa...

 

2 years ago

Malunde

MAKONDA AJIBU HOJA YA YEYE KUDAIWA KUHUSIKA PIA DAWA ZA KULEVYA


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo wa mkoa kushindwa kulitaja jina la Agness Masogange kwenye orodha ya kwanza ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.


Akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari Jumatano hii ofisini kwake wakati akitaja orodha ya pili ya watuhumiwa wa madawa hayo, Makonda amesema, “Ukitaja jina kwanza utakuwa unaingia...

 

2 years ago

Mwananchi

Mbowe ajibu swali la Rais Magufuli

Hai. Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe, amejibu swali la Rais John Pombe Magufuli, aliyehoji matumizi ya Sh1.3 bilioni za mfuko wa barabara kwa mwaka wa fedha 2016/2017 katika wilaya hiyo

 

4 years ago

Mzalendo Zanzibar

VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi

Sunday, September 20, 2015 MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka upendeleao. Kauli […]

The post VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani