Katibu wa Mbunge Godbless Lema Gabriel Kivuyo ajivua uanachama na kujiunga na CCM


Courtesy of Global TV

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UANACHAMA NA KUJIUNGA CCM MKOANI RUVUMA

Kushoto ni Diwani wa kata ya Shule ya Tanga iliyopo Songea mjini mkoani Ruvuma kupitia tiketi ya Chama Cha Demoklasia na Maendeleo ( CHADEMA )Mussa Ndomba aliyejivua uaanachama na kujiunga Chama tawala cha mapinduzi (CCM)  akimkabidhi kadi mwenyekiti wa CCM mkoa wa RUVUMA Mh. ODDO MWISHO. kwa undani zaidi wa habari hii bonyeza play hapo chini .

 

1 year ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne

 

2 years ago

CHADEMA Blog

KATIBU MKUU WA CHADEMA ALAANI TUKIO LA RC GUMBO KUMZUIA MBUNGE GODBLESS LEMA KUWEKA JIWE LA MSINGI

Nimesikitishwa sana na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuvuruga sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya huduma za mama na mtoto.Si tu kwamba ameonyesha kukosa staha kwenye jamii, pia ameonyesha kutounga mkono mahitaji ya nchi na dunia nzima "hasa kwa mahitaji ya akina mama na watoto"Nalaani tabia hizi za kihuni zisizo na tija kwa Taifa. Ikumbukwe tu kwamba; mwanzo wa

 

4 years ago

Mwananchi

Mbunge ajivua uanachama Chadema

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

1 year ago

Zanzibar 24

Hivi punde: Mbunge CUF ajivua uanachama

The post Hivi punde: Mbunge CUF ajivua uanachama appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

GPL

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.

 

2 years ago

Malunde

Video: MBUNGE GODBLESS LEMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI...ATAKA KILA MBUNGE AFUNGWE MIEZI MINNE TU

Jana mkutano wa saba wa bunge uliendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye alisimulia jinsi alivyotupwa selo miezi minne gerezani huku dhamana yake ikiwa wazi.

==>Msikilize hapo chini akiongea

 

2 years ago

Ippmedia

Kesi ya Mbunge wa Arusha Godbless Lema

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) ameugua gerezani Kisongo na kushindwa kuhudhuria mahakamani leo, katika kesi inayomkabili dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Language Swahili

 

3 years ago

Global Publishers

Mbunge Godbless Lema Adaiwa Kukamatwa na Polisi

lemaMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo alfajiri ya leo na anashikiliwa katika Kituo cha Kikuu cha Polisi kwa mahojiano.

Meya wa Jiji la Arusha amethibitisha taarifa hizo. Aidha chanzo cha kukamatwa kwake bado hakijajulikana.

Taarifa zaidi tutawajuza kadri tutakavyozipata.

 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani