KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!

Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi si wa kwanza
Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

2 years ago

Mwananchi

Dalili tano za mwanamke/mwanaume anayechepuka

Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamefanya uchunguzi na kutaja dalili za mume au mke anayesaliti ikiwamo usiri katika matumizi ya simu yake na kubadili nywila (password) mara kwa mara.

 

5 years ago

Mwananchi

Jakamoyo husababisha mauti, chukua hatua kuliepuka

Binadamu anakabiliwa na hali ya maisha ambayo inamsababishia masumbufu yanayojulikana kama jakamoyo yaani mfadhaiko.

 

4 years ago

Vijimambo

PITIA HIZI PICHA NA CHUKUA TAADHALI HUKO BARABARANIKwa mtaji huu basi ndugu zetu wanaendelea kufupishwa maisha kila siku dreva wa basi anaona kabisa hapa kuna mlima na kuna kona  lakini bado ana ladhimisha kumpita mwenzie bila kujali usalama wa abiria ndani ya basi.
Hapa dreva wa basi anachokifanya ni uvunjaji wa sheria bila hata kujali watu waliondani ya basi hili
Madreva kama awa ni hatari sana kwa usalama wa abiria pata picha hapa nini kingetokea na basi hili la abiria na gari hili ndogo.

 

2 years ago

Michuzi

UVCCM WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA HATUA ALIZO CHUKUA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Umoja wa  Vijana wa Chama  Cha Mapinduzi (UVCMM), umenpongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk .John Pombe Magufuli kwa kuonesha Uzalendo mkubwa alionao kwa nchi yake,baada ya kuchukua maamuzi yenye maslahi ya nchi  katika sakata la zima la Makinikia.

Hayo yamesemwa leo na Kaimu Katibu mkuu wa  Shaka Hamdu Shaka (MNEC)  alipokuwa akitoa salamu za pongezi za Vijana wote katika  ukumbi wa CCM vIJANA kinondoni .

Shaka amesema Umoja wa...

 

5 years ago

GPL

WATU BILIONI 2 WANAUMWA HOMA YA INI (HEPATITIS B) DUNIANI, CHUKUA HATUA

Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini. Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu. Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus).
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho.
Watu takribani 1,000,000 wanapoteza maisha kila mwaka duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B)....

 

4 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA MWAKA 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.Mmoja kati ya Vijana wenye...

 

3 years ago

Michuzi

KIFAHAMU KIPINDI KIPYA CHA 'CHUKUA HATUA' KINACHOHUSU VIJANA MKOANI DODOMA

Chukua Hatua ni kipindi kipya cha radio kitakachowashirikisha vijana, wakizungumza na kujadili kwa pamoja masuala yanayowahusu hasa ya kujikwamua na maendeleo mkoani Dodoma na maeneo jirani.
Hiki ni kipindi ambacho kinatarajiwa kujadili kwa kina changamoto za ajira kwa vijana kupata mwelekeo wa maendeleo kwa vijana wa kike na kiume.
Lengo kuu la kipindi hiki ni kutoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia vijana kuondokana na ukosefu wa ajira na changamoto wanazokutana nazo katika mihangaiko yao,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani