Kauli mbili za Arsene Wenger kwa wanaotaka aondoke Arsenal

Kipigo cha goli 5-1 walichofungwa timu ya Arsenal katika uwanja wa Alianz Arena Ujerumani dhidi ya wenyeji wao FC Bayern Munich katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kimefanya mashabiki waendelee kumzonga kocha Arsene Wenger na wengine wakitaka aondoke. Bado haijajulikana kama kocha huyo ataendelea na Arsenal au kuachana nayo baada […]

The post Kauli mbili za Arsene Wenger kwa wanaotaka aondoke Arsenal appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger Wenger awasifu mashabiki wa Arsenal

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wazuri sana wakati wa mechi dhidi ya Manchester City ambayo iliisha kwa sare ya 2-2 uwanjani Emirates.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: 'Upendo' kwa Arsenal ulinifanya niwakatae Paris St-Germain

Meneja wa Arsene Wenger amesema "upendo" wake kwa klabu ya Arsenal ulimfanya kukataa kujiunga na alikuwa na Paris St-Germain ya Ufaransa.

 

3 years ago

Bongo5

Mashabiki wa Arsenal wamtaka Wenger aondoke

walcottjpg-1024x661

Licha ya ushindi wa magoli manne kwa bila dhidi ya Hull City kwenye mashindano ya kombe la FA, mashabiki wa Arsenal wamtaka Wenger aondoke.

_88648072_giroud_goal_reuters2

Mashabiki wa Arsenal wameonekana kutofurahishwa na mwenendo wa timu yao baada kufungwa mechi mfululizo ikiwemo ile ya Barcelona, Manchester United, Swansea kabla ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Spurs wikiendi iliyoisha.

2819972

Kitu cha ajabu kwenye mechi hiyo mashabiki wa Arsenal walibeba mabango yaliyoandika, “Arsene, Tunashukuru kwa kumbukumbu...

 

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ashtakiwa na FA kwa aliyoyasema kuhusu sare West Brom

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefungulwia amshtaka na Chama cha Soka England (FA) kutokana na tamko lake kuhusu waamuzi baada ya mechi yao ugenini Jumapili

 

2 years ago

Channelten

Licha ya ushindi wa 5-0, mashabiki wa Arsenal wamkomalia Wenger aondoke

WENGER

Kocha wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema maoni toka kwa mashabiki wa timu hiyo hayawezi kuchangia yeye kutoa maamuzi ya kuondoka au kuendelea kubaki kwenye timu hiyo.
Mashabiki wa Arsenal waliandamana usiku wa jumanne mara baada ya timu hiyo kutandikwa bao 5-1 na Bayern Munich wakishinikisha kocha huyo kuondoka.

Lakini Kocha huyo Mfaransa amesema kitendo hicho cha mashabiki hao kuandamana hakiwezi kuwa kigezo cha yeye kuondoka na kuachana na Arsenal na kusema kuwa amefanya kazi...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo:Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameongoza klabu hiyo kwa muda gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

4 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal

WENGERLONDON, ENGLAND

BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.

Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.

Mashabiki wa Arsenal...

 

5 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal

Ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017.

 

3 years ago

BBCSwahili

Usmanov: Arsenal ''inamuhitaji'' Arsene Wenger

Arsenal ''inamuhitaji'' Arsene Wenger hivyobasi mkufunzi huyo wa The Gunners ana uwezo wa kumchagua mrithi wake wakati atakapoondoka,kulingana na mwanahisa mkuu wa klabu hiyo Alisher Usmanov.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani