Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM kwa kuwa ni haki ya Kikatiba, anaandika Angel Willium. Muda mchache baada ya Katambi kutangaza kujiunga na CCM, Dk. Mashinji, amesema: “Sisi kama chama msimamo wetu tuliuweka tangu madiwani walivyoanza kuondoka, tukaweka ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE ATOA KAULI NZITO KATAMBI KUHAMIA CCM
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama hicho hakiwezi kutetereka au kufa kwa kiongozi au mwanachama wake kuondoka.

Amesema kuna mkakati mkubwa unaotumia fedha unaofanywa kuwalaghai viongozi na wanachama wake kukihama chama hicho.

Kauli hiyo ameitoa leo Jumatano baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa vijana wa chama hicho, Patrobas Katambi kutangaza kujiunga na CCM.

Akizungumza leo Jumatano na Mwananchi, Mbowe ambaye pia ni amesema, "Tuko ‘strong enough’ sio mara ya kwanza watu kuondoka...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MWENYEKITI WA CHADEMA MHE FREEMAN MBOWE BAADA YA KAULI YA KARDINALI PENGO KUHUSU SUALA LA KATIBA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kauli ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo kuhusu mchakato wa Katiba imewasikitisha.Wakati Mbowe akitoa kauli hiyo, mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maadili, amani na haki za binadamu kwa jamii ya madhehebu ya dini zote Tanzania, Askofu William Mwamalanga amemshauri Rais John Magufuli kuufufua

 

1 year ago

Malunde

KAMPENI MENEJA WA KATAMBI,MWENYEKITI WA BAVICHA SHINYANGA MJINI AANIKA SIRI ZA KATAMBI KUHAMIA CCM..MSIKILIZE HAPA


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema wilaya ya Shinyanga Mjini Samson Ng’wagi amefichua siri ya harakati za aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi aliyejiondoa CHADEMA na kuhamia CCM mapema wiki hii huku akiwaomba viongozi wa CHADEMA taifa wasishughulike na Katambi wamwachie yeye kuwa ni saizi yake.

Ng’wagi ambaye alikuwa Kampeni Meneja wa Patrobas Katambi wakati akigombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,amesema kuhama kwa Katambi...

 

1 year ago

Malunde

ALIYEKUWA KAMPENI MENEJA WA KATAMBI..SASA MWENYEKITI WA BAVICHA SHINYANGA MJINI KESHO KUFICHUA MAZITO KUHUSU KATAMBI KUHAMIA CCMMwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) wilaya ya Shinyanga Mjini Samson Ng’wagi ameeleza kusikitishwa na kitendo cha aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema taifa Patrobas Katambi kujiondoa Chadema na kuhamia CCM huku akiwapachika jina la ‘Makarai’ vijana wa Chadema.

Kufuatia kitendo hicho alichokiita kuwa ni usaliti kwa CHADEMA,Ng’wagi ambaye alikuwa Kampeni Meneja wa Katambi alipogombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, amesema kesho...

 

12 months ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer akitangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani kata ya Naalarami na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM leo tarehe 28/04/2018. Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer  akiwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli na kutangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na chama cha CCM leo April 28, 2018

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA SOPHIA SIMBA KUHAMIA VYAMA VYA UPINZANI BAADA YA KUTUMBULIWA CCM


Aliyekuwa mwanachama mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba ambaye alifukuzwa uanachama kwa usaliti, amezungumzia hatua aliyoichukua baada ya uamuzi huo dhidi yake.

Wikendi iliyopita, CCM ilitangaza kumvua uanachama Mwanasiasa huyo baada ya kumtia hatiani, ambapo taarifa zinadai kuwa yeye alibainika kwenda nyumbani kwa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa hata baada ya uchaguzi mkuu akiwa amevalia hijabu...

 

3 years ago

MillardAyo

Kauli ya CCM baada ya CHADEMA kutaja siku ya maandamano

ccm

July 28 2016 Chama cha mapinduzi (CCM) kikiongozwa na msemaji wake Christopher Ole Sendeka  kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuzungumzia hatua iliyotangazwa na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kufanya maandamano ya nchi nzima. Ole Sendeka amesema…>>>’Jana tarehe 27/7/2016 chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), walitoa kauli iliyojaa uongo mwingi za kibabaishaji […]

The post Kauli ya CCM baada ya CHADEMA kutaja siku ya maandamano appeared first on...

 

4 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani