KAULI YA CHADEMA KUHUSU KUHAMIA CCM MAULID MTULIA

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

SABABU ZA MAULID MTULIA KUJIUZULU UBUNGE NA UACHAMA CUF NA KUHAMIA CCM

Mbunge wa Kinondoni jijini Dar, Maulid Mtulia (CUF)  ametangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa Chama cha Wananchi CUF na kuhamia CCM.
Katika barua yake ya kujiuzulu, Mtulia amesema kuwa ameamua kufanya uamuzi huo Disemba 2,2017 kwa utashi wake bila shinikizo la mtu yeyote.
Mtulia ameelezea sababu za kujiuzulu nafasi yake hiyo ya ubunge na kuhama chama kuwa imetokana na uzoefu alioupata kwa miaka miwili ya ubunge, na kusema “nimebaini kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho...

 

3 weeks ago

MwanaHALISI

Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM kwa kuwa ni haki ya Kikatiba, anaandika Angel Willium. Muda mchache baada ya Katambi kutangaza kujiunga na CCM, Dk. Mashinji, amesema: “Sisi kama chama msimamo wetu tuliuweka tangu madiwani walivyoanza kuondoka, tukaweka ...

 

1 month ago

Malunde

KAULI YA WEMA SEPETU KUHUSU NYALANDU KUHAMIA CHADEMA,HALI YA TUNDU LISSU

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa anajisikia furaha na amani kuona Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa anaendelea vyema kadili siku zinavyokwenda lakini pia amegusia sakata la Nyalandu kujitoa CCM.

Wema Sepetu ametumia mtandao wake wa Instagram baada ya kuweka picha ya Tundu Lissu akiwa anakula chakula akiwa hospitali Nairobi na kusema anajisikia vizuri kuona shujaa wao anaendelea vizuri.

"Ni jambo jema kumuona shujaa wetu anaendelea vyema kweli Mungu...

 

3 weeks ago

Malunde

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE ATOA KAULI NZITO KATAMBI KUHAMIA CCM
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama hicho hakiwezi kutetereka au kufa kwa kiongozi au mwanachama wake kuondoka.

Amesema kuna mkakati mkubwa unaotumia fedha unaofanywa kuwalaghai viongozi na wanachama wake kukihama chama hicho.

Kauli hiyo ameitoa leo Jumatano baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa vijana wa chama hicho, Patrobas Katambi kutangaza kujiunga na CCM.

Akizungumza leo Jumatano na Mwananchi, Mbowe ambaye pia ni amesema, "Tuko ‘strong enough’ sio mara ya kwanza watu kuondoka...

 

5 months ago

Malunde

MBOWE AMJIBU POLEPOLE KUHUSU KIGOGO WA CHADEMA ANAYETARAJIWA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amejibu kauli iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole aliyesema kuna mtu mzito wa Chadema atakayehamia chama tawala hivi karibuni.

Mbowe amesema kuwa Chadema haiwezi kutetereka kwa kuondoka kiongozi yeyote kwani imejengwa katika misingi imara kama taasisi isiyotegemea mtu.
“Kwanza kabisa sitaki kuzungumzia propaganda za Polepole ambaye najua anajifunza siasa. Wapo wazito zaidi waliohama au...

 

2 years ago

Mwananchi

MAULID MTULIA : Nitawaondoa Panya Road, wauza unga

“Wilaya yetu ya Kinondoni inakabiliwa na janga la dawa za kulevya na vikundi vya vijana waporaji maarufu Panya Road. Inabidi tufanye jitihada kuwaokoa na hii ni moja kati ya vipaumbele vyangu.”

 

2 months ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MWENYEKITI WA CHADEMA MHE FREEMAN MBOWE BAADA YA KAULI YA KARDINALI PENGO KUHUSU SUALA LA KATIBA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kauli ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo kuhusu mchakato wa Katiba imewasikitisha.Wakati Mbowe akitoa kauli hiyo, mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maadili, amani na haki za binadamu kwa jamii ya madhehebu ya dini zote Tanzania, Askofu William Mwamalanga amemshauri Rais John Magufuli kuufufua

 

2 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KINONDONI, MAULID MTULIA ASISITIZA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

 Mbunge wa Jimbo Kinondoni, Maulid Mtulia akizungumza na wananchi Jimboni kwake juu ya kuwasisitiza wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambayo kwasasa inapatikana Jimboni kwake kwa ada ya shilingi elfu 40,000 kwa mwaka mzima. mwananchi ukiwa na kadi hiyo utamuona Daktali utapa vipimo na kupatiawa dawa. bila kutoa gharama yoyote, katika mkutano huo ulifanyika  kwenye viwanja vya Magomeni jijini Dar es Salaam. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani