KAULI YA CHADEMA KUHUSU RIPOTI YA CAG

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Kauli ya JK kuhusu ripoti ya CAG iungwe mkono

Juzi Rais Jakaya Kikwete wakati akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka unaoishia Juni 2014, alitoa maagizo makali baada ya kubaini ndani ya ripoti hiyo kuna madudu mengi ya matumizi mabaya ya fedha za umma.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kama uliwahi kukutana na ripoti ya CAG haya ni mambo mawili ya kufahamu kuhusu ripoti yake

Juma-Assad

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Tanzania (CAG) Profesa Juma Musa Asaad ameamua kuweka wazi mambo kadhaa kuhusiana na ripoti yake, kikubwa alichozungumza mkaguzi mkuu kabla  ya kuamini ripoti yoyote inayoandikwa mitandaoni, unatakiwa uangalie vitu viwili muhimu ili kufahama kama hiyo ni ripoti yake au la. Ripoti inayotoka kwa CAG huwa ina vitu […]

The post VIDEO: Kama uliwahi kukutana na ripoti ya CAG haya ni mambo mawili ya kufahamu kuhusu ripoti yake appeared first on...

 

5 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG kuzigusa Chadema, CCM

Bunge la Bajeti linaanza vikao vyake kesho mjini Dodoma na moja ya kazi zake zitakazovuta hisia za wengi ni Ripoti ya Mwaka 2012/13 ya Mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali itakayowasilishwa na Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

1 year ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MWENYEKITI WA CHADEMA MHE FREEMAN MBOWE BAADA YA KAULI YA KARDINALI PENGO KUHUSU SUALA LA KATIBA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kauli ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo kuhusu mchakato wa Katiba imewasikitisha.Wakati Mbowe akitoa kauli hiyo, mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maadili, amani na haki za binadamu kwa jamii ya madhehebu ya dini zote Tanzania, Askofu William Mwamalanga amemshauri Rais John Magufuli kuufufua

 

2 years ago

Mwananchi

CAG mstaafu azua jambo kuhusu ripoti zake

Dar es Salaam.Aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Ludovick Utouh amesema mapendekezo yanayotolewa na CAG katika ripoti yake ya ukaguzi hayatekelezwi kikamilifu na watendaji wa serikali, jambo linalosababisha makosa hayo kujirudia na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma.

 

4 years ago

Mwananchi

Wabunge wawe wamoja mijadala kuhusu Ripoti ya CAG, Mahakama ya Kadhi

Bunge jana lilianza mkutano wake wa 18 mjini Dodoma likiwa na masuala mengi mazito katika ajenda yanayopaswa kujadiliwa katika muda mfupi tu wa wiki mbili. Hicho ni kikao chake cha kwanza mwaka huu, ambacho kinakuja baada ya mkutano wake wa 16/17 uliofanyika Novemba mwaka jana na kugubikwa na mjadala mkali kuhusu uchotwaji wa fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Baadhi ya watendaji serikalini wamefikishwa mahakamani, huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali wakijiuzulu.

 

4 years ago

Dewji Blog

Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa bungeni isome humu

DSC_0473

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu akauti ya ESCROW Bungeni Mjini Dodoma jana.

DSC_0437

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo mjini Dodoma.

DSC_0468

Baadhi ya wahudumu wa Bunge wakigawa Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW kwa Wabunge.

DSC_0461

DSC_0487

Waheshimiwa Wabunge wakipitia ripoti ya CAG kwa makini wakati ikisomwa na Mwenyekiti wa...

 

4 years ago

KwanzaJamii

KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ametoa lawama kwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utoh,  kwa kuchelewesha ripoti ya uchunguzi wa fedha za akaunti ya Escrow kazi aliyopewa na Bunge la Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kafulila alisema licha ya kupewa kazi hiyo tangu Machi 20, mwaka huu, lakini mpaka sasa ameshindwa kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa bunge...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani