KAULI YA MH FREEMAN MBOWE KUHUSU WITO WA KUHOJIWA NA POLISI

Jana usiku nilipata wito nikitakiwa kwenda Polisi Kanda Maalum Ya Dar es salaam na Zonal Crime Officer Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Wambura, akihitaji nifike leo Jumamosi 30/07/2016, lakini leo nipo Marangu Kilimanjaro kuhudhuria maziko ya Baba yake mzazi Devotha Minja, Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.Na kesho Jumapili 31/07/2016 nitakuwa katika shughuli za kuuaga mwili wa

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MWENYEKITI WA CHADEMA MHE FREEMAN MBOWE BAADA YA KAULI YA KARDINALI PENGO KUHUSU SUALA LA KATIBA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kauli ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo kuhusu mchakato wa Katiba imewasikitisha.Wakati Mbowe akitoa kauli hiyo, mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maadili, amani na haki za binadamu kwa jamii ya madhehebu ya dini zote Tanzania, Askofu William Mwamalanga amemshauri Rais John Magufuli kuufufua

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO BUNGENI: Waziri Mkuu, Freeman Mbowe na Dr. Tulia kuhusu kauli ya Rais Magufuli

February 2 2017 mkutano wa sita wa bunge umeendelea tena Dodoma na katika kipindi cha maswali na majibu ya moja kwa moja kwa Waziri mkuu Majaliwa, moja kati ya waliopata nafasi ya kuuliza alikuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe aliyetaka mwongozo wa serikali kuhusu tuhuma za Rais kuvifuta vyama vya upinzani.

The post VIDEO BUNGENI: Waziri Mkuu, Freeman Mbowe na Dr. Tulia kuhusu kauli ya Rais Magufuli appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Alichosema Freeman Mbowe kuhusu Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amekutana na Waandishi wa habari Mwanza na kuzungumza kuhusu Edward Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana, yote aliyoyasema yapo kwenye hii video hapa chini VIDEO: Ulipitwa na video ya Edward Lowassa alivyochukuliwa na Polisi Geita? tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

The post VIDEO: Alichosema Freeman Mbowe kuhusu Lowassa kushikiliwa na Polisi Geita jana appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani