KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI WA TAIFA

KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MWENENDOWA HALI YA UCHUMI WA TAIFA
UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge Na. 49 (1 ) ya Kanuni za Bunge toleo la Januari mwaka 2016, naomba kuwasiisha taarifa kuhusu hali ya uchumi wa Taifa, hususan mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi, ikiwemo ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, mwenendo wa sekta ya nje na akiba ya fedha za kigeni, mwenendo wa sekta ya fedha ikiwa pamoja na hali ya ukwasi na deni la Taifa.
Mheshimiwa Spika, Serikali...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
2 years ago
Michuzi
KAULI YA SERIKALI BUNGENI DODOMA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI WA TAIFA

1 year ago
CCM Blog
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

IFUATAYO NDIYO TAARIFA YENYEWE
TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18
29 DESEMBA, 2017
UTANGULIZI
Nashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia...
1 year ago
Malunde
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

3 years ago
CHADEMA Blog12 Jun
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU HALI YA UCHUMI WA TAIFA, MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MAKADIRIO
5 years ago
Michuzi
Wasira awasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15


5 years ago
Michuzi16 Jun
2 years ago
MillardAyo30 Sep
Alichokizungumza Gavana wa BOT kuhusu hali ya Uchumi na Deni la Taifa
Leo September 30, 2016 Gavana wa Benki Kuu Tanzania Profesa Benno Ndulu ametoa taarifa ya hali ya ukuaji wa pato la taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2016 pamoja na hali ya madeni ya ndani na nje ambayo serikali imeanza kuyalipa kwa kutumia fedha za ndani. Gavana Ndulu amesema serikali imeanza kupunguza madeni ya serikali […]
The post Alichokizungumza Gavana wa BOT kuhusu hali ya Uchumi na Deni la Taifa appeared first on millardayo.com.
3 years ago
MichuziHOTUBA YA WIZARI YA FEDHA NA MIPANGO ILIYOWAWASILISHA BUNGENI: TAARIFA YA HALI YA UCHUMI 2015 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2016/17
3 years ago
StarTV24 Nov
Serikali yakiri ukuaji wake wa uchumi wa taifa hauendani na hali halisi ya wananchi
Serikali imesema Uchumi wa Taifa umekuwa kwa asilimia saba kwa kipindi kilichopita ila kutokana na sera ya kuwekeza kwenye vitu visivyohusisha wananchi moja kwa moja kumepelekea ukuaji huo kutooneka wazi.
Kutokana na mchango wa pato la Taifa kwa Watanzania ambalo ni asilimia 70 waliopo vijijini na mashambani imebainika kuwa na mchango mdogo.
Katika maadhimisho ya siku ya Takwimu Afrika, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha , Naibu katibu Mkuu Professa Aldof Mkenda amesema, kwa...