KAULI YA STAA ZA MUZIKI BONGO ALIKIBA BAADA YA KUFUNGA NDOA LEO


Nyota wa muziki wa Bongo nchini Tanzania Ali Saleh Kiba ameuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenziwe kutoka Kenya.
Harusi hiyo ya kukata na shoka iliofanyika katika msikiti wa Ummul Kulthum ilihudhuriwa na rafiki wa mwanamuziki huyo Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho.
Mwanamuziki huyo wa wimbo wa Seduce me aliisafirisha familia yake mjini Mombasa siku moja kabla ya kumuoa mchumba wake.
Ni watu wachache pekee walioalikwa katika harusi hiyo iliodaiwa kufanyika kisiri.

Baada ya kufunga...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Riyama Ally kufunga ndoa na msanii wa muziki

Riyama

Staa wa filamu Riyama Ally anatarajia kufunga ndoa na msanii chipukizi wa muziki ‘Mysterio’ ambaye amekaa nae katika uchamba kwa muda mrefu.
Riyama

Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Ijumaa hii, Riyama alisema tayari mwanaume huyo ameshamtolea posa.

“Mimi na my wangu tupo kwenye mahusiano ya uchumba lakini mungu akipenda Insha’Allah tutafunga ndoa, kwa sababu ndoa zinapangwa mbinguni.” alisema Riyama.

Hata hivyo, Riyama hakuweka wazi tarehe rasmi ya kufunga ndoa.

Aidha,...

 

3 years ago

Bongo5

Kauli ya Alikiba kuhusu Diamond kupitisha video za wasanii wa Bongo kuchezwa MTV Base

kingkiba

Baada ya Diamond kuweka wazi kuwa kituo cha runinga cha kimataifa, MTV Base huwa wanampigia kuidhinisha video yoyote inayotumwa kwenye kituo hicho kutoka Tanzania ili azitolee maoni kama zipitishwe ama laa, kauli hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na wadau wakiwemo wasanii wenyewe.

kingkiba

Miongoni mwa wasanii waliozungumza kuhusu kauli hiyo ni pamoja na Alikiba, ambaye itakumbukwa kuwa video zake hazioneshwi na kituo hicho, kitu kinacholeta sintofahamu pia kutokana na tofauti zake na Diamond....

 

3 years ago

Global Publishers

Baada ya FA kupata jiko… AY naye mbioni kufunga ndoa

AYAmbwene Yessaya ‘AY’

KUFUATIA staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Helga wiki iliyopita, swahiba wake mkubwa, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunguka kuwa naye yuko njiani. Akizungumza na mtandao huu, AY anayebamba na Ngoma ya Zigo alisema kuwa ni jambo jema kwa rafiki na ndugu yake wa karibu (MwanaFA) kufunga ndoa hivyo imempa hamasa.

xwp-1465151369479.jpeg.pagespeed.ic.waTiUqskYFHamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ na mkewe.

“Nimefurahi sana kwa swahiba wangu kufunga ndoa. Naamini FA...

 

3 years ago

Bongo5

Audio: Msikilize King Kaka akizungumzia Bongo Flava, Alikiba, Diamond na muziki wa Kenya

Rapper wa Kenya, King Kaka amezungumzia mabadiliko anayoyaona kwenye muziki wa Bongo Flava anaodai kuufutialia kwa ukaribu, wasanii wa Tanzania anaowakubali, changamoto kwenye muziki wa Kenya, utofauti kati Diamond na Alikiba na mambo kibao. Msikilize hapo chini kwenye interview na kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga...

 

3 years ago

Bongo5

Baada ya kufunga ndoa mashabiki wanadhani nimeacha kuigiza – Shamsa Ford

Malkia wa filamu Shamsa Ford amesema anapokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake wakimuuliza kama ni kweli ameacha kuigiza baada ya kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi aka Chidi Mapenzi

Mwigizaji huyo ambaye alifunga ndoa mwezi mmoja na nusu uliopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi, amesema ndoa haiwezi kumtenganisha na mashabiki wake wa filamu.

“Kusema kweli toka nifunge ndoa mashabiki wangu wamekuwa wakiniuliza kama nitafanya tena filamu, wengine wanasema nimeacha kuigiza,” alisema...

 

3 years ago

Bongo5

Hiki ni kauli ya Wizkid baada ya MTV EMA kumpokonya tuzo na kumpa Alikiba

Hapo awali, Wizkid hakuwa mtu aliyejishughulisha kabisa na masuala ya tuzo. Lakini siku za hivi karibuni baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo kwenye MTV MAMA, huenda aliamua kuufungua moyo wake.

14310711_1780175475585476_271242701_n

Na sasa kuna kila dalili kuwa akarejea tena kwenye msimamo wa awali wa kuzichukulia tuzo kama si kitu cha maana baada ya kudaiwa kuwa MTV EMA wamesitisha ushindi wake na kuamua kumpa Alikiba kwakuwa ni dhahiri kwa mujibu wa kura ndiye aliyekuwa akistahili.

Baada ya hilo, mashabiki wengi wa...

 

3 years ago

MillardAyo

List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz)

Baada ya kuwa katika uchumba wa muda mrefu wa takribani miaka minne Christine Bleakley na kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya New York City Frank Lampard, December 20 amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu. Lampard sasa anaungana katika kambi ya wanasoka walioa baada […]

The post List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo5

Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake

Hit maker wa Msambinungwa, Tunda Man amesema alikuwa mbioni kufunga ndoa mwezi wa kumi mwaka huu lakini ameahirisha kutokana na matatizo ya kifamilia. Tunda Man ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa afunge ndoa mwezi October lakini kutokana na kuuguliwa na mama yake, ameamua asitishe. “Nina mpango wa kuoa, nilikuwa nataka nifunge ndoa mwezi wa kumi lakini kwa […]

 

3 years ago

Bongo5

Binti wa Desmond Tutu afutwa kazi ya ukasisi baada ya kufunga ndoa ya jinsia moja

Mtoto wa askofu mstaafu wa kanisa la kianglikana nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu amefutwa kazi yake ya ukasisi wa kanisani baada ya kufunga ndoa na mwanamke mwenzake.

IMG_9360

Mpho Tutu aliyekuwa akihudumia kwenye kanisa la Anglikana alifunga ndoa hiyo mwezi uliopita na Prof Marceline van Furth huku sheria za nchi hiyo zikiruhusu ndoa hiyo ya jinsia moja kutokana na sheria iliyopitishwa Novemba 30, 2006. Lakini kanisa hilo la Anglikana la Afrika Kusini bado limeendelea kupinga ndoa hizo za...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani