KAULI YA WAZIRI KIVULI WA HABARI NDUGU JOSEPH MBILINYI NA WAJUMBE WENGINE WA KAMATI YA JAMII KUFUATIA KITENDO CHA UVAMIZI CLOUDS MEDIA

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE AUNDA KAMATI KWA AJILI YA KUCHUNGUZA TUKIO LA UVAMIZI WA KITUO CHA HABARI CHA CLOUDS.


Na Shamimu Nyaki-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye ameunda kamati ya watu watano itayoongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas kuchunguza tukio la uvamizi lilofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika chombo cha habari cha Clouds Media.Akiongea katika ziara aliyoifanya  leo  Jijini Dar es Salaam  katika chombo hicho Mhe.Nape amesema Kamati hiyo itafanya kazi ndani ya masaa 24 kuanzia sasa huku akiwataja wajumbe...

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA WAZIRI WA HABARI NAPE NNAUYE KUHUSU MADAI YA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS MEDIA NA ASKARI WENYE SILAHA

Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amesema kuwa kesho Machi 20, 2017 atakwenda katika Ofisi za Clouds Media Group kujua kilichotokea baada ya kuwapo taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa ofisi hizo zilivamiwa.


Taarifa hizo zinadai kuwa ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni B Dar es Salaam, zilivamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Usiku wa Machi 17 mwaka huu.
Taarifa hizo ambazo hazijathibitishwa bado zinaenda mbali...

 

4 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

3 years ago

MillardAyo

Wabunge wengine watatu wamesimamishwa leo, yupo Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

suuuu

June 30 2016 bunge limetangaza kuwasimamisha wabunge wawili wa CHADEMA, Mbunge wa Mbeya mjini  Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ na Saed Kubenea mbunge wa Ubungo kwa makosa tofauti ikiwemo kulidanganya bunge. ULIMISS HII YA Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Wabunge wengine watatu wamesimamishwa leo, yupo Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE APOKEA RIPOTI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA TUKIO LILILOTOKEA CLOUDS MEDIA

Na Shamimu Nyaki-WHUSM.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amepokea taarifa ya kina kuhusu chanzo, sababu na namna tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda alivovamia kituo cha Utangazaji cha Clouds Media akiwa na walinzi wenye silaha Machi 17, 2017.
Akipokea taarifa hiyo leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Dkt.Hassan Abbas ameishukuru Kamati kwa utulivu wao na kuifanya...

 

1 year ago

BBCSwahili

Moto wazuka kituo cha habari cha Clouds Media GroupTanzania

Chumba cha kurushia matangazo ya televisheni ya Clouds Media Group kimeteketea

 

2 years ago

Channelten

Madai ya Uvamizi Clouds Media, Jukwaa la wahariri ,DCPC , UTPC watoa tamko

TEF

Jukwaa la Wahariri Tanzania kwa kushirikiana na klabu ya waandishi wa habari Dar es salaam, DCPC na klabu za waandishi wa habari Tanzania, UTPC vimetangaza kuacha kuandika ama kutangaza habari zinazomhusu Mkuu wa Mkoa wa DSM PAUL MAKONDA kuanzia leo mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo

Uamuzi huo umefikiwa baada ya hivi karibuni kuibuka kwa sakata la Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es salaam kudaiwa kufanya uvamizi katika kampuni ya CLOUDS MEDIA kushinikiza kurushwa hewani kwa habari yake na kutumia...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mambo matatu Polisi DSM wamezungumzia ikiwemo uvamizi wa Clouds Media

Kamishna wa Polisi Kanda Maaalum ya Dar es Salaam Simon Sirro ameeleza kuwa Jeshi hilo bado lipo kwenye upelelezi kuhusu kuvamiwa kwa Clouds Media Group na pindi upelelezi utakapokamilika hatua zinazotakiwa zitafuata ikiwa ni pamoja na kulifikisha jalada kwa Wakili wa Serikali. Kamanda Sirro amesema hayo mbele ya wanahabari ambao walihoji hatua ambayo upelelezi huo […]

The post VIDEO: Mambo matatu Polisi DSM wamezungumzia ikiwemo uvamizi wa Clouds Media appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani