KCB Tanzania yafuturisha wateja wake wa Arusha

Benki KCB Tanzania imekuwa mwenyeji wa hafla ya futari kwa wateja na wadau wake wa jiji la Arusha. Shughuli hiyo ilifanyika katika hoteli ya kitalii ya Kibo Palace ambapo wageni zaidi ya mia moja walialikwa ili kushiriki pamoja futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Moezz Mir alipokuwa akikaribisha wageni wake alisema kuwa mwezi wa Ramadhani ni wakati muhimu wa kushiriki pamoja na kuendeleza umoja na amani nchini.

“Nawashukuru wote kwa kuwa washirika wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

BENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR

 Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki
 Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Serena Mwishoni mwa wiki .

 Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Serena mwisoni mwa wiki


.MkurugenzI na Maofisa...

 

9 months ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Vodacom Tanzania, Bakari Kamenge akizungumza na baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati mtandao huo ulipoandaa futari mahsusi kwa wateje hao ili kuongeza ukaribu na ...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA KCB TANZANIA YAFUTURU NA WATEJA WAKE MWANZA

Benki ya KCB Tanzania imefuturisha wateja wake wa Mwanza katika hoteli ya JB Belmont. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Bw. Ahmed Msangi, wajumbe wa bodi ya huduma za kiislamu wa benki ya KCB, wafanyakazi na wateja wa benki hiyo. 
Akizungumza wakati wa futari hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB Cosmas Kimario alisema kuwa futari hiyo ipo ndani ya vipaumbele vya benki kuwekeza katika jamii na kuboresha uhusiano na wateja wake.

“Benki ya KCB Tanzania inadhamini...

 

4 years ago

Michuzi

BENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM

 Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Serena Mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Serena mwisoni mwa wiki.

.MkurugenzI na Maofisa...

 

10 months ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR


 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania, Selemani Ponda akito shukran wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wao wakubwa wa Dar e Salaam jana iliyofanyika katika hoteli ya New Africa.

Mteja wa benki ya Exim Tanzania, Mr Murtaza, akitoa shukrani kwa menejimenti ya benki katika half ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo mwisho wa wiki iliyopita katika hoteli ya New Africa Dar es Salaam. Wateja na wafanyakazi 100 wa benki ya Exim Dar es Salaam...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA WARSHA YA BIASHARA CLUB KWA WATEJA WAKE AMBAO NI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKATI

Benki ya KCB Tanzania imeendelea kuwekeza kwa wajasiriamali wadogo na wakati kupitia kitengo chake cha “Biashara Club”, kitengo kinachohudumia wajasiriamali wadogo na wakati yaani (SME) kwa kuwapa huduma za kibenki na huduma endelevu za kimaendeleo kwa wateja wake. 
Zaidi ya wanachama 100 wa Biashara Club wamekutana kujifunza jinsi ya kutunza fedha, jinsi ya kufanya kwa vitendo uwekaji wa kumbu kumbu za hesabu , jinsi gani taarifa ya fedha za biashara yako na taarifa za kifedha za mtu...

 

2 years ago

Michuzi

Exim Bank Tanzania yafuturisha Wateja Wake Mikoa Mbali Mbali

 Wateja wa benki ya Exim waliopo Mtwara wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana. Wateja wa benki ya Exim waliopo Mtwara wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana. Wateja wa benki ya Exim waliopo Zanzibar wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort juzi. 3A2ZSWSAQMeneja mwandamizi wa Exim Bank tawi la Zanzibar, Fred Umiro akizungumza na wateja wa benki hiyo baada ya futari...

 

2 years ago

Michuzi

ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR


Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Kulia) na Mkuu wa huduma za Ezypesa Zantel, Shinuna Kassim (katikati) wakifurahia jambo na mteja wa Zantel katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Katikati) akipata futari na baadhi ya wateja wa Kampuni hiyo katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini ...

 

10 months ago

Michuzi

EXIM BANK YAFUTURISHA WATEJA WAKE MWANZA

 Meneja wa Benki ya Exim tawi la Mwanza Deo Makwaia, akizungumza na wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza wakati wa hafla ya Futar iliyoandaliwa na benki hiyo. Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba,akichukua Futar, wakati wa hafla ya  kufuturu iliyoandaliwa na benki hiyo jijini humo.  Wateja wa Benki ya Exim Mwanza wakichukua Futar, wakati wa hafla ya  kufuturu iliyoandaliwa na benki hiyo juzi.Wateja wa Benki ya Exim wakifuturu, wakati wa hafla ya  futar iliyoandaliwa na benki...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani