KCC BINGWA MAPINDUZI CUP

Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

KCC yabeba Mapinduzi Cup

HESABU za Kocha mpya wa Simba, Zdravco Logalusic, kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kuanza na mguu mzuri raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Bara, jana zilitibuka baada ya...

 

5 years ago

GPL

HALF TIME FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: SIMBA 0, KCC 1

Timu za Simba na KCC zikisubiri kukaguliwa kabla ya mtanange kuanza kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KWA sasa ni mapumziko katika mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba SC na KCC ya Uganda ndani ya Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KCC wako mbele kwa bao…

 

4 years ago

TheCitizen

KCC beat Khartoum to grab third place at Kagame Cup

KCC defeated Khartoum 2-1 to finish third at the 2015 CECAFA Kagame Cup at the National Stadium yesterday.

 

2 years ago

Habarileo

Azam bingwa mapinduzi

Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba pia ya jijini humo kwa bao 1-0.

 

3 years ago

Habarileo

Bingwa Mapinduzi kujulikana leo

TIMU ya Mamlaka ya Mapato ya Uganda (URA), imetamba kuwa leo itaondoka na taji la michuano ya Mapinduzi endapo waamuzi hawataibeba Mtibwa Sugar wanayocheza nayo katika fainali kwenye Uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar.

 

2 years ago

Habarileo

Bingwa mtetezi Mapinduzi aonja joto ya jiwe

BINGWA mtetezi wa Kombe la Mapinduzi, watoza ushuru wa Uganda, URA, jana walionja joto ya jiwe baada ya kuzuiwa na Jang’ombe Boys kwa mabao 2-1 kwenye mchezo maridadi uliopigwa jana kisiwani Zanzibar katika Uwanja wa Amaan.

 

3 years ago

BBCSwahili

Murray bingwa Davis Cup

Mcheza tenesi bora wa Uingereza Andy Murray amelipa taifa lake ubingwa wa michuano ya tenesi ya Davis Cup

 

4 years ago

Raia Tanzania

Azam bingwa Kagame Cup

TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao  2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.

Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani