Kenya kuagiza mahindi kutoka nje ili kupunguza uhaba wa chukula

18519564_1169167233194588_5888821914324161734_n

Serikali imetakiwa kuongeza bajeti yake kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili iweze kukidhi na kuongeza uwezo wa kukagua hesabu za serikali kwa ufanisi na ubora zaidi jambo ambalo litachangia kuimarisha uwajibikaji na tija katika usimamizi wa fedha za umma pamoja na kuchochea maendeleo.

Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na wadau wa masuala ya Uchumi katika mkutano maalum uliojadili Ripoti za Mkaguzi Mkuu wa Serikali katika Mkutano ulioandaliwa na Shirika la Kiraia FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY kwa kushirikiana na Taasisi ya WAJIBU kwa lengo kujenga uelewa kuhusu umuhimu wa ripoti hizo za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali pamoja na mapendekezo yake pamoja na kuzitumia katika kuimarisha utawala bora hususan uwajibikaji, kudhibiti na kusimamia vyema matumizi ya fedha za umma.

Wakizungumza katika mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wajibu LUDOVICK UTOUH pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY FRANSIS KIWANGA wamesema kumekuwapo changamoto kubwa ya utekelezaji wa mapendekezo ya Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya serikali ambapo takwimu zinaonyesha kuwa katika Ripoti ya CAG kwa mwaka 2015/2016, kwa upande wa serikali za mitaa kati ya mapendekezo 79 yaliyotolewa na Mkaguzi Mkuu huyo ni mapendekezo matatu tu ndiyo yaliyotekelezwa ambayo ni asilimia 4, ambapo kwa upande wa Serikali Kuu ni kwa asilimia 20 tu mapendekezo ya CAG yametekelezwa, kiwango ambacho si cha kuridhisha.

Aidha wadau hao wametaka taarifa za ukaguzi wa mahesabu ya fedha za umma ziwekwe katika lugha rahisi kueleweka na wananchi hususan wale waishio vijijini.

Baadhi ya Wabunge ambao pia ni wenyeviti wa kamati za Bunge ya Hesabu za Serikali PAC pamoja na kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAC walioalikwa katika mkutano huo wameelezea umuhimu wa kuyapa kipaumbele mapendekezo ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali na namna ambavyo Kamati hizo zinavyoathirika na utekezaji mdogo wa mapendekezo ya CAG unaofanywa na Serikali.

CHANZO : CRI KISWAHILI

Share on: WhatsApp

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Kenya yafikiria kuondoa kodi kwa mahindi yanayoagizwa kutoka nje ili kukabiliana na njaa

1

Kenya itafuta kodi ya mahindi yanayoagizwa kutoka nje ili kupunguza uhaba mkubwa ambao umesababisha hali mbaya ya usalama wa chakula nchini humo wakati hali ya ukame ikiendelea.

Waziri wa fedha wa Kenya Henry Rotich amesema, serikali itaongeza punguzo la bei kwa watengenezaji wa unga wa mahindi ambao wanaagiza bidhaa hiyo kutoka nchi za jirani. Amesema bei ya unga wa mahindi inaweza kupungua kutoka dola 0.75 ya kimarekani kwa kilo hadi dola 0.5 kwa kilo katika siku chache zijazo mara baada...

 

2 years ago

BBCSwahili

Kenya kupunguza waajiriwa kutoka nje

Serikali ya Kenya imeanza kutekeleza sheria mpya kwa mashirika yasiyo ya kiserikali, kama njia ya kutoa ajira zaidi kwa Wakenya na kudhibiti ongezeko la waajiriwa kutoka nchi za nje.

 

2 years ago

Global Publishers

11 months ago

Zanzibar 24

Serikali kuagiza tani laki moja za sukari kutoka nje ya Nchi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeagiza Sukari tani laki 1 ili kupunguza uhaba wa sukari nchini kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ameyasema hayo Bungeni Mjini Dodoma na kuongeza kuwa Nchini Inakadiriwa kuwa na mahitaji ya Sukari kiasi cha  tani 420,000 lakini nchini inazalishwa tani 320,000 hivyo mwaka huu imeagizwa sukari tani 80,000 na tayari tani 35,000 imeshaingia nchini.

The post Serikali kuagiza tani laki moja za sukari kutoka nje ya Nchi appeared first on...

 

11 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI ILI KUPUNGUZA UHABA WA MAJI NCHINI.

Na Husna Saidi.
SERIKALI imesema imeandaa mpango kabambe wa uchimbaji wa mabwawa ya kutiririsha maji ya mvua katika baadhi ya maeneo nchini ili kupunguza hadha ya ukosefu wa maji kwa wananchi.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo na Wazirti katika kikao cha Bunge la bajeti linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Majaliwa alisema katika kutekekeleza mpango wa Serikali kumtua “Mama ndoo kichwani” Serikali...

 

10 months ago

BBCSwahili

Kenya yaagiza mahindi kutoka Ethiopia

Malori ambayo yamebeba zaidi ya tani 260 za mahindi yaliwasili katika mji wa mpakani wa Moyale leo

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mkakati uliowekwa Kenya ili kupunguza wavutaji wa Sigara

9

Wakati madaktari wakisisitiza kupunguza matumizi ya tumbaku ambayo yamekuwa na madhara makubwa kwa afya za watu na kusababisha magonjwa kama vile saratani ya mapafu. Nchini Kenya wamekuja na sheria ya kudhibiti uuzaji na matumizi ya Sigara ambapo wametunga sheria ambapo moja wapo ni katika manunuzi ya Sigara hizo ambapo wanaotumia Sigara sasa wanatakiwa kununua pakiti nzima […]

The post VIDEO: Mkakati uliowekwa Kenya ili kupunguza wavutaji wa Sigara appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

2 years ago

Mwananchi

Malori 14 ya mahindi yadakwa yakipeleka mahindi Kenya

Moshi. Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limethibitisha kukamata malori 14 yakiwa na mahindi yaliyokuwa yanasafirishwa kwenda nchi jirani.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani