Kenyatta, Raila wakubaliana kudhibiti wanaohama vyama

Uhuru Kenyatta

Uhuru Kenyatta

NAIROBI, KENYA

RAIS Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga, wamekubaliana kuwazuia wagombea wa nafasi mbalimbali wanaohama vyama kabla ya Uchaguzi Mkuu.

Pendekezo hilo linatarajia kujadiliwa katika Bunge la Taifa na Baraza la Seneti, liliungwa mkono na mungano ya Jubilee na Cord, ambayo ina wawakilishi wengi katika vyombo hivyo viwili vya maamuzi.

Kiongozi wa walio wengi bungeni, Aden Duale na mwenzake wa walio wachache, Francis Nyenze...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

NAPE NNAUYE APONDA KUPOKEA WANASIASA WANAOHAMA VYAMA.....ADAI VYEMA KUSHUGHULIKA NA WASIO NA VYAMA
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.

Akizungumza leo Jumapili Desemba 31,2017 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Azam, Nape amesema siku zote amekuwa na msimamo tofauti na wanachama wanaovihama vyama vyao kwa maelezo kuwa unawajenga wanaohama, si vyama.

"Kama tunataka kujenga vyama viwe vya kitaasisi ni lazima kuhamahama lisiwe suala la kawaida. Yaani...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zitto atoa neno kwa wanaohama vyama vyao vya siasa

Kufuatia vuguvugu la hivi karibuni la wanasiasa kuhama vyama vyao na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakitoka CCM na kuhamia upinzani, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kuhusiana na sarakasi hizo za kisiasa. Katika chama chake cha ACT-Wazalendo, Zitto amepoteza wanasiasa kama Samson Mwigamba, Dkt. Kitila Mkumbo na wanachama wengine 10 ambao wametimkia CCM huku aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mama Anna Elisha...

 

1 year ago

Malunde

HATIMAYE ZITTO KABWE AFUNGUKA KUHUSU WANAOHAMA VYAMA VYAO VYA SIASA

Kufuatia vuguvugu la hivi karibuni la wanasiasa kuhama vyama vyao na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakitoka CCM na kuhamia upinzani, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kuhusiana na sarakasi hizo za kisiasa.

Katika chama chake cha ACT-Wazalendo, Zitto amepoteza wanasiasa kama Samson Mwigamba, Dkt. Kitila Mkumbo na wanachama wengine 10 ambao wametimkia CCM huku aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mama Anna Elisha Mghwira...

 

3 years ago

Habarileo

Magufuli, Kenyatta wakubaliana kuimarisha uhusiano wa nchi zao

RAIS John Magufuli amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kukubaliana kuimarisha uhusiano hususani katika masuala ya kiuchumi.

 

1 year ago

RFI

Kenyatta na Odinga wakutana, wakubaliana kumaliza tofauti za kisiasa

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, wamekutana kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu uliopita na kuahidi kuliunganisha taifa hilo ambalo limegawanyika kisiasa.

 

2 years ago

Mtanzania

KENYATTA APUUZA MADAI YA RAILA

NAIROBI, KENYA

RAIS Uhuru Kenyatta amepuuzilia mbali madai ya kiongozi wa Cord, Raila Odinga, kwamba Serikali inaendesha njama ya kuwasajili wageni kuwa wapigakura.

Aidha alisema Raila ni mwongo kwa kudai maofisa wa Shirika la Kitaifa la Ujasusi (NIS) ndio wanaotumika katika njama hizo, zinazoashiria mpango wa mapema wa kuiba kura.

Kwenye taarifa katika vyombo vya habari juzi, Rais Kenyatta alisema madai kama haya yanaashiria kuwa viongozi wa upinzani wamebaini kuwa watashindwa.

“Wamebaini...

 

1 year ago

VOASwahili

Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma.

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais Kenyatta akutana na Raila Odinga

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anafanya mazungumzo na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga ili kuondoa wasiwasi wakati ambapo taifa hilo linajiandaa kwa uchaguzi mwaka mkuu ujao.

 

3 years ago

Mtanzania

Raila aanika mipango ya kumng’oa Kenyatta

 Raila Odinga

Raila Odinga

NAIROBI, KENYA

KIONGOZI wa Muungano wa Mageuzi na Demokrasia (Cord), Raila Odinga, ameanika mipango ya kumng’oa madarakani Rais Uhuru Kenyatta, akisema ushirika wao utakuwa na nguvu kubwa utakapompitisha mgombea wake wa urais.

Kiongozi huyo wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), alisema muungano wao hautagawanyika kama mahasimu wao wa Jubilee wanavyowaambia wafuasi wao.

Akizungumza katika Kaunti ya Kakamega, Raila alisema ana imani vigogo watatu wa muungano wao; Kalonzo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani