Kesi kuhusu kuminya uhuru wa habari yaanza kusikilizwa Tanzania

Sheria mpya ya vyombo vya habari nchini Tanzania ambayo ilipitishwa na rais wa nchi hiyo mnamo Novemba 2016, imeanza kusikilizwa rasmi leo katika mahakama ya Afrika Mashariki huko, Arusha, Kaskazini mwa Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa

Kesi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya bingwa mara tatu wa Boston Marathon Rita Jeptoo wa Kenya imeanza leo hii mjini Nairobi lakini chama cha riadha kimesema hakitatangaza hukumu ya Jeptoo hadi wiki ijayo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya

Mshukiwa wa ubakaji aliyekuwa miongoni mwa genge la watu waliombaka Liz na kumtupa ndani ya shimo, inaanza kusikilizwa leo.

 

2 years ago

Mtanzania

KESI YA TUNDU LISSU YAANZA KUSIKILIZWA

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema)

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema)

Na KULWA MZEE-DAR ES SALAAM

SHAHIDI wa kwanza upande wa mashtaka katika kesi ya kutoa maneno ya uchochezi kwa kumwita Rais “dikteta uchwara”, inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), amedai maneno hayo yalikuwa ya kuwashawishi Watanzania wapingane na utawala uliopo madarakani.

Shahidi huyo, E 4128 Ndege, alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Kesi ya Manji yaanza kusikilizwa leo

Mfanyabiashara Yusuf Manji amefika kwa wakati  asubuhi ya leo katika mahakama ya Hakimu mkaazi Kisutu jijini Dar es salaam kwaajili ya kusikiliza kesi inayomkabili  ya kutumia dawa za kulevya.

Wiki iliyopita alichelewa mahakamani hapo hali iliyosababisha kuiomba radhi mahakama.

Kesi imeanza kusikilizwa mbele ya Hakimu mkaazi  Cyprian Mkeha

The post Kesi ya Manji yaanza kusikilizwa leo appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Michuzi

KESI YA MABOSI JAMII FORUM YAANZA KUSIKILIZWA

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaarifiwa kuwa, amri ya kukamatwa kwa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya jamii Forums, ilitolewa na afisa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SSP Ramadhan Kindai.
Kauli hiyo imetolewa na yeye mwenyewe SSP Kindai wakati akitoa ushahidi wake mbele ya hakimu Thomas Simba dhidi ya mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forum, Maxence Melo na Mwanahisa wa Kampuni hiyo, Mike William.
Shahidi huyo wa kwanza wa upande wa...

 

4 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA

Na Daniel Mbega, Mwanza
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...

 

2 years ago

RFI

Kesi ya kuzuia kufungwa kwa kambi ya Daadab nchini Kenya yaanza kusikilizwa

Mahakama Kuu jijini Nairobi nchini Kenya, imeanza kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Wanaharakati wa haki za binadamu, Mashirika ya kiraia na Shirika la Kimataifa la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International kupinga mpango wa serikali kufunga kambi ya Daadab inayowapa hifadhi maelfu ya wakimbizi kutoka nchini Somalia.

 

1 year ago

RFI

Kesi kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta kuanza kusikilizwa leo

Hatua ya pili katika Kesi ya kupinga ushindi wa rais wa Kenya Uhuru Kenyata inatarajiwa kuanza leo jioni baada ya kumalizika kwa hatua ya kwanza hapo jana kwa pande zote tatu yaani upande wa NASA, Jubilee na IEBC kuwasilisha mahakamani hoja zao za maandishi.

 

2 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA DK. SENGONDO MVUNGI KUSIKILIZWA MAHAKAMA KUU, MASHAHIDI 30 KUSIKILIZWA

Na Karama Kenyunko
Jumla ya Mashahidi 30 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam kufuatia kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi.
Mwendesha Mashtaka, wakili wa serikali Patric Mwita ameileza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  leo, baada ya kumaliza usiklilizwaji wa awali kwa kusoma ushahidi wa mashahidi thelesini mbele ya Hakimu Mkazi mkuu Thomas Simba.
Aidha wakili Mwita amedai kuwa wakati wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani