Kesi ‘malkia’ meno ya tembo Janauri 16

KESI ya kukutwa na meno ya tembo ya thamani ya Sh bilioni 5.4 inayomkabili Raia wa China, Yang Feng Glan (Malkia wa meno ya tembo) na wenzake imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hadi Januari 16 mwaka huu, kutokana na hakimu anayesikiliza kesi hiyo kuwa likizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 days ago

Michuzi

Uamuzi wa kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi wa meno ya Tembo kutolewa mwezi ujao


Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
Mshtakiwa Philemon Manase ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliteswa sana wakati anatoa maelezo ya onyo katika kituo cha Polisi Osterbay Jijini Dar es salaam.
Ameyaeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi wakati akitoa utetezi wake katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili yeye, raia wa China anayedaiwa kuwa ni Malkia wa Pembe za Ndovu, Yang Feng Glan (66) na Silvius Matembo.
Akiongozwa na wakili wake, Nehemiah...

 

3 years ago

Habarileo

Kesi ya Wachina ya meno ya tembo Mei 13

MASHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, inayowakabili raia watatu wa China, wataendelea kutoa ushahidi Mei 13 na 14 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

7 months ago

Mwananchi

Kesi ya malkia wa meno ya tembo Oktoba 5

Hatimaye kesi ya biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh5.4 bilioni inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan (66) na wenzake itaanza kusikilizwa Oktoba 5, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

3 years ago

Habarileo

Kesi ya walionaswa na kontena la meno ya tembo Jan. 16

UPELELEZI wa kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 7.5 inayowakabili watu sita waliokamatwa Zanzibar, bado haujakamilika.

 

1 year ago

Mwananchi

Shahidi amkaanga mtuhumiwa kesi ya meno ya tembo

Shahidi wa nne katika kesi ya kukutwa na vipande 14 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh 21 milioni bila kuwa na kibali inayomkabili  mshtakiwa Said Shomaria, ameileza mahakama kuwa alimkuta mshtakiwa akiuza vipande hivyo chumbani.

 

12 months ago

Mwananchi

Upelelezi kesi ya malkia wa meno ya tembo wakamilika

Hatimaye upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumi uchumi inayomkabili raia wa China, maarufu ‘Malkia wa Meno ya Tembo’ Yang Feng Glan na wenzake wawili umekamilika.

 

4 months ago

Habarileo

Mkanganyiko kesi ya ‘Mpemba’ wa meno ya tembo na wenzake 6

KESI ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo inayowakabili watu sita akiwemo mfanyabiashara Yusuf Yusuf (34) maarufu ‘Mpemba’, imeendelea kuleta mkanganyiko mahakamani baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuelezea ni hatua gani zitafuata baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

 

4 months ago

Habarileo

Kesi ‘Mpemba’ wa meno ya tembo sasa Jan 11

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo inayowakabili watu sita akiwemo mfanyabiashara Yussuf Yussuf (34) maarufu ‘Mpemba’, umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro.

 

4 months ago

Mwananchi

Likizo yakwamisha ushahidi kesi ya meno ya tembo

Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayohusu biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh5.4 bilioni inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan (66) na wenzake wawili imeshindikana kuanza kusikilizwa ushahidi wa upande wa mashtaka kutokana na hakimu kuwa likizo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani