Kesi ya Dk Mvungi yaahirishwa tena

UPANDE wa Jamhuri jana umeshindwa kuwasomea maelezo ya ushahidi washtakiwa sita, wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Kizza Besigye yaahirishwa tena

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dk.Kizza Besigye aliyekuwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu shtaka la uhaini hajafikishwa mahakamani.

 

1 year ago

Mtanzania

KESI YA KINA KITILYA YAAHIRISHWA TENA

Harry-Kitilya

Na MANENO SELANYIKA

-DAR ES SALAAM

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imeahirisha kesi inayomkabili Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake hadi Febuari 3, mwaka huu itakapotajwa tena.

Imeelezwa mahakamani hapo jana wakati shauri hilo lilipotajwa kwamba sababu ya kuahirisha kesi hiyo kwa mara nyingine ni upelelezi kuendelea pia Hakimu anayeiendesha, Syprian Mkeha, yupo likizo.

Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kesi ya talaka ya mmiliki wa St. Mathew yaahirishwa tena

court_gavel

Na Mwandishi wetu

MAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala, Dar es Salaam, imepanga Septemba Mosi mwaka huu kutoa hukumu katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali zenye thamani ya Sh  Milioni 800 inayomkabili Mmiliki wa Shule ya Sekondari ya St. Mathew na St. Marks, Thadei Mtembei.

Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa juzi lakini iliahirishwa kutokana na upande wa mlalamikaji kutofika mahakamani.

Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Rajab Tamambele alisema kuwa kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya hukumu...

 

2 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ‘Malkia wa Pembe’ yaahirishwa tena Tanzania

Kesi dhidi ya mwanamke Mchina ambaye anatuhumiwa kuhusika katika ulanguzi wa pembe za ndovu kutoka Tanzania imeahirishwa tena.

 

2 years ago

Global Publishers

Hukumu Kesi ya Babu Tale Yaahirishwa Tena

BAB TALE (1)

Bab Tale akitoka mahakamani akiongozana na Said Fela a.k.a Mkubwa Fela.

BAB TALE (5)

Bab Tale akishuka ngazi za mahakama.

BAB TALE (2)

Mkubwa Fela na Bab Tale baada ya kutoka chumba cha mahakama.

BAB TALE (3)  

Shehe Mbonde anayemshitaki Bab Tale akiwa eneo la mahakama. Kushoto ni wakili wake.

BAB TALE (4) 

Shehe Mbonde na wakili wake wakishuka ngazi za mahakama.

Stori: Boniphace Ngumije na Denis Mtima

HUKUMU ya kesi inayomkabili Meneja wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Babu Tale, ya kusambaza na kuuza DVD za mawaidha ya Shehe...

 

4 years ago

GPL

LULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba. Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni… ...

 

4 years ago

GPL

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari. Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.…

 

2 years ago

Bongo5

Kesi ya Kizza Besigye yaahirishwa tena hadi June 15/2016

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dk.Kizza Besigye aliyekuwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani tarehe 1 June kujibu shtaka la uhaini hajafikishwa mahakamani.

00321073-a79667801a9f640c630768a78220925e-arc614x376-w1200

Upande wa mashtaka umeomba ruhusa mahakama hiyo ihamishwe karibu na gereza alikozuiliwa bw Besigye kwa ajili ya tishio la amani mjini.

Hata hivyo viongozi wengine wa upinzani wamejaa mahakamani ambapo wanafanya mgomo baridi.

Hakimu aliyekuwa anatarajiwa kusikiza kesi hiyo aliagiza kuahirishwa kwa kusikizwa kwa kesi hiyo hadi tarehe 15...

 

11 months ago

Malunde

MBUNGE HALIMA MDEE ATINGA MAHAKAMANI TENA..KESI YAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA 12


Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kupitia kwa Mawakili wake amewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi yake ya kumtolea lugha chafu Rais Magufuli.

Mawakili watano wa Halima Mdee, wakiongozwa na Hekima Mwesigwa wamewasilisha pingamizi hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa Serikali Leonard Chalo kudai shauri hilo limekuja kwa ajili ya kitajwa.

Mwesigwa amedai kuwa wana mapingamizi mawili,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani