KESI YA KIGOGO WA TRA ALIYENASWA KWA KUISHI MAISHA YA KIFAHARI YAUNGURUMA MAHAKAMANI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, kesi dhidi ya Afisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na mashtaka mawili ikiwamo la kukutwa akimiliki mali  na kuishi maisha yasiyolingana na kipato chake halali atasomewa maelezo ya awali (PH). Desemba 6 mwaka huu.
Jennifer ambaye yuko nje kwa dhamana ameshtakiwa chini ya kifungu cha 27, (1) (a) na (b) cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007.
Kesi hiyo ilikuja leo kwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MAHAKAMA KUSIKILIZA USHAHIDI WA JAMHURI KESI YA OFISA WA TRA ANAYEISHI KIFAHARI APRILI 9


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itaanza kusikiliza ushahidi wa Jamhuri dhidi ya kesi inayomkabili Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na tuhuma za kumiliki magari 19 na kuishi maisha ya juu kuliko kipato chake kama mtumishi yenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 530.8.


Kesi hiyo ilipangwa kusikilizwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi.
Hata hivyo, upande wa Jamhuri uliomba mahakama kupanga tarehe...

 

3 years ago

Global Publishers

Mawakili Kesi ya kigogo Wa Milioni 7 Watoana Jasho Mahakamani

IMG_0806

Yusufali na mwenzake wakibadilishana mawazo, kabla ya kuanza kunguruma kwa kesi inayowakabili.

IMG_0807

Wanasheria, waandishi wa habari na ndugu wa washtakiwa wakiwa mahakamani hapo.

Kesi inayomkabili mfanyabiashara Mohamed Mustafa Yusufali anayedaiwa kujiingia fedha zipatazo shilingi milioni saba kwa dakika kwa njia isiyo halali, leo imechukua sura mpya kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar huku mawakili wa pande zote mbili, wakihenyeshana kwa hoja.

Yusufali na wenzake, wanakabiliwa...

 

5 years ago

GPL

BIBI ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA AANGUA KILIO MAHAKAMANI

Bibi wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole akipelekwa mahakamani. BIBI wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole (65), leo ameangua kilio katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ers Salaam wakati akipelekwa kizimbani kwa ajili ya kusomewa kesi yake ya kunaswa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 37. Hakimu aliyepelekewa kesi hiyo, Frank Mushi, aliiahirisha kesi hiyo mpaka kesho ili bibi huyo ambaye...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi inayomkabuili msaanii wa filamu, Elizabeth Maichael (Lulu) ya mauaju bila kukusudia ya msanii mwenzake, Steven Kanumba, anaandika Faki Sosi. Shahidi wa kwanza ni Seth Bosco (30) ambaye ni ndugu wa marehemu Kanumba aliyekuwa akiishi naye nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam. Mbele ...

 

4 years ago

Michuzi

KESI YA MIRATHI YA MALI ZA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE NCHINI YAUNGURUMA JIJINI ARUSHA

KESI ya kugombea  mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu Betty Luzuka (pichani) imeibua mapya  mahakamani mara baada ya ushahidi wa njia ya video kumuonyesha mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa  jumuiya ya  Afrika Mashariki ,Phil Makini Kleruu aitwaye Hilda Kleruu akichukua fedha za marehemu kabla na baada ya marehemu kuaga dunia.
Hilda, ambaye amefunguliwa kesi na kaka wa marehemu, Ssarongo Luzuka akimtuhumu kujimilikisha mali za marehemu bila kufuata utaratibu wa kifamilia...

 

3 years ago

Mwananchi

Kigogo TRA, mfanyakazi wa Yono wapanda kortini kwa rushwa

Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Mkwizu na mfanyakazi wa kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart, Edward Magobela wamepandishwa kortini jana wakikabiliwa na mashtaka matatu ya rushwa.

 

2 years ago

Michuzi

RAIA WA UHOLANZI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUISHI NCHINI BILA KIBALI

Raia wa uholanzi, Monique Honsbeek Amanzi, ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, rafiki yake wa kiume ambaye ni askari polisi kitengo cha Trafiki amemchania hati yake ya kusafiria.

Amanzi (28), amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi, Victoria Nongwa alifikishwa mahakamani hapo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuishi nchini bila ya kuwa na kibali.

Akisomewa mashtaka yake na wakili wa serikali kutoka ofisi za Uhamiaji, Nivatus Mlay amedai, Septemba 11 mwaka huu (2017) katika makao makuu...

 

2 years ago

MillardAyo

UTAFITI: Hatua 7 za kukusaidia kuishi kwa muda mrefu na maisha ya afya

Sio mbaya kukumbushwa au kuambiwa vitu ambavyo vitakusaidia kuwa na afya au kukusababisha mwili wako kuwa kwenye hali nzuri zaidi kila siku iwapo utavifanya, wanasema hizi hapa chini ni baadhi tu ya njia za kukufanya kuwa na afya njema kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Columbia. Matembezi Mafupi Kutembea kwa angalau dakika 20 tu […]

The post UTAFITI: Hatua 7 za kukusaidia kuishi kwa muda mrefu na maisha ya afya appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Malunde

AFISA WA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA

Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Joyce Amon amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na shtaka la kushawishi rushwa.

Wakili wa Serikali, Sophia Nyanda alisema jana Ijumaa Machi 9, 2018 mbele ya Hakimu Mkazi Adelf Sachore kuwa Desemba 12, 2017 katika eneo la Gerezani Kariakoo Wilaya ya Ilala mshtakiwa huyo akiwa mwajiriwa wa TRA kama Ofisa Msaidizi wa Kodi alishawishi rushwa ya Sh800,000 kutoka kwa Antelo Sanga ili asiweze kumwandikia cheti cha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani