Kesi ya kina Mbowe kuunguruma leo

Freeman Mbowe

Freeman Mbowe

NA JUDITH NYANGE, MWANZA

SHAURI la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuiomba Mahakama kubatilisha amri    polisi    kuuzia mikutano ya hadhara ya vyama vya  siasa limepangwa kuanzwa kusikilizwa leo.

Tofauti na yalivyokuwa maombi yaliyowasilishwa Juni 10, mwaka huu katika shauri la  namba 79 la mwaka 2016, mbele ya  Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza  yaliyowajumuisha washtakiwa watano, shauri la sasa litajumuisha  washtakiwa   wawili ambao ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUUNGURUMA APRILI 16

Upande wa mashtaka wa kesi inayowakabili viongozi saba wa Chadema, akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iruhusu kesi hiyo isikilizwe kwa haraka, ikiwezekana jambo hilo kuanza kesho.

Wakili huyo wa Serikali, Faraja Nchimbi amesema msingi wa maombi hayo ni kutokana nai upelelezi kukamilika.

Amesema sababu nyingine ni kwamba washtakiwa wengi katika kesi hiyo ni wabunge na kwa kuwa kesi hiyo inavuta watu wengi ni vema ikasikilizwa haraka.

"Kwa...

 

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

2 years ago

Global Publishers

Kesi ya Mbowe Vs RC Makonda, Sirro na Kamanda Wambura Yaanza Kuunguruma Mahakama Kuu

DAR ES SALAAM: Kesi ya kupinga kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Kamanda wa Jeshi la Polisi Dar, Kamishna Simon Sirro na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura imeanza kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo, Mbowe anapinga kukamatwa na Jeshi la Polisi Dar kufuatia wito wa RC Makonda aliyemtaja kwa tuhuma za...

 

4 years ago

Mwananchi

Kesi ya kina Mbowe, Dk Slaa sasa Des 30

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanachama 63 wa Chadema, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kupinga kushtakiwa kwa kufanya maandamano na mikusanyiko isiyo halali, imepangwa kutajwa Desemba 30 katika Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha.

 

3 years ago

Mtanzania

Kesi ya Kafulila kuunguruma leo

KAFULILANa Mwandishi Wetu, Kigoma

KESI ya kupinga matokeo ya jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa Novemba 2015 katika Mahakama Kuu kanda ya Tabora   itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia leo, mbele ya Jaji Dk. Wambura ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Tanga.

Kesi hiyoNa 2 ya mwaka 2015 yenye mvuto mkubwa wa siasa, itafanyika katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa kipindi chote.

Habari zinasema  itakuwa kwenye mahakama ya wazi na hivyo kuvuta hisia na umma mkubwa wa wakazi wa Mkoa wa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Katiba kuanza kuunguruma leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itaanza kusikiliza kesi ya msingi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama hiyo kutupilia mbali pingamizi...

 

3 years ago

Mwananchi

Kesi ya Jerry Silaa kuunguruma leo

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo, inatarajia kutoa uamuzi wa kupokea au kutopokea kiapo cha ushahidi katika kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa Ukonga, Jerry Silaa (CCM) dhidi ya mbunge Mwita Waitara (Chadema).

 

5 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kesi ya kina Makunga leo

Mahakama ya Hakimun Mkazi Kisutu yawaachia huru punde Meneja Uendelezaji Biashara wa Mwananchi Communication (MCL), Theophil Makunga, Aliyekuwa Mhariri Mtendaji  wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani