Kesi ya Lema sasa Mahakama ya Rufaa

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo imeshindwa kusikiliza rufani ya Jamhuri dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kupinga dhamana yake, baada ya mawakili wa Serikali kuwasilisha notisi ya kukata rufaa katika Mahakama ya Rufaa wakipinga kusikilizwa kwa rufani hiyo .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Mawakili wa Lema Wafungua Kesi Mahakama Kuu Wakitaka Lema Afikishwe Mahakamani

Wakili John Mallya (CHADEMA) leo amesema wamefungua kesi Mahakama Kuu kutaka Mbunge Godbless Lema afikishwe Mahakamani baada ya kukaa Mahabusu kwa muda wa siku 6 kitendo ambacho ni kinyume cha sheria.

Wakili huyo amedai kuwa mtuhumiwa anapaswa kukaa masaa 24 tu kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. Hivyo kesi imeadhimia kuwataka RCO, Mwenasheria Mkuu na IGP wamlete Lema Mahakamani kwa amri ya Mahakama.

Aidha kwa upande wa Jeshi la Polisi limeeleza kuwa upelelezi juu ya Mbunge...

 

2 years ago

Ippmedia

Majaji wa 3 mahakama ya rufaa yasikiliza rufaa ya DPP kesi ya utakatishaji wa fedha.

Japo la majaji watatu wa mahakama ya rufani limesikiliza rufaa ya mkurugenzi wa mashtaka-DPP-ya kupinga maamuzi ya mahakama kuu ya kutupiliambali rufaa yake dhidi ya maamuzi ya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ya kuwafutia shtaka la nane la utakatishaji fedha lililokuwa linawabili aliyekuwa 

Day n Time: JUMANNE SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

11 months ago

Mwananchi

Mahakama ya Rufaa yakubali rufaa ya DPP kesi ya Uamsho

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameshinda rufaa dhidi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake 21 wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

1 year ago

Habarileo

Dhamana ya Lema Mahakama ya Rufaa

HATIMA ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema sasa iko mikononi mwa Mahakama ya Rufaa baada ya jana mawakili wa serikali kuwasilisha maelezo ya notisi ya kukusudia kukata rufaa kupinga mbunge huyo kupewa dhamana.

 

2 years ago

Mtanzania

MAWAKILI WA LEMA WAKATA RUFAA MAHAKAMA KUU

Na JANETH MUSHI – ARUSHA

1

BAADA ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha juzi kushindwa  kufanya marejeo ya mwenendo wa kesi za jinai zinazomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), mawakili wanaomtetea wamekata rufaa kwa hati ya dharura.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, wakili wa Lema, Peter Kibatala, alisema wameshawasilisha rufaa hiyo kwa Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, hivyo wanasubiri hati ya wito baada ya mchakato wa ndani ya mahakama...

 

1 year ago

Michuzi

MAAMUZI YA RUFAA YA KESI YA LEMA KUJULIKANA JANUARI 4, 2017


Na.Vero Ignatus Arusha.
Mahakama kuu kanda ya Arusha imesikiliza maombi ya rufaa yayaliyowasilishwa na upande wa jamhuri na ule wa mshtakiwa Godbless Lema ambapo pande zote mbili wamekubaliana kusikilizwa rufaa ya upande wa jamhuri ambapo upande wa serikali wameiomba mahakama kuwasilisha kwa hati ya maandishi hapo kesho tarehe 30 disemba 2016 
Aidha rufaa hizo ni pamoja na ile ya upande wa Jamhuri kutoridhika na maamuzi ya Jaji Dkt. Modesta Opiyo la kuwapa siku kumi (10) upande wa mshtakiwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya mahakama kuu Arusha kuhusu rufaa ya kupinga kumnyima dhamana Lema

mahakama-lema

Leo December 2 2016 Mahakama kuu kanda ya Arusha imetupa rufaa ya kupinga maamuzi ya kumnyima dhamana iliyoamuliwa na mahakama ya hakimu mkazi dhidi ya mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema. Naibu msajili wa Mahakama kuu kanda ya Arusha, Anjelo Rumisha amesema kwamba rufaa hiyo ilikuwa imekatwa nje muda uliopangwa. ARUSHA: Mahakama kuu imetupa rufaa […]

The post Maamuzi ya mahakama kuu Arusha kuhusu rufaa ya kupinga kumnyima dhamana Lema appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mtanzania

Mahakama yatishia kufuta kesi ya Lema

lemaaNa  JANETH MUSHI, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imetishia kuzifuta kesi mbili zinazomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), ikiwemo kesi ya kusambaza ujumbe unaomkashifu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Augustine  Rwezile, baada ya upande wa mashtaka kuomba uongezwe muda wa siku 60 kwa ajili ya kukamilisha upelelezi wa kesi hizo.

Akizungumza baada ya upande wa mashtaka kuomba siku hizo,...

 

2 years ago

Mtanzania

Mahakama yafuta maombi kesi ya Lema

 Godbless Lema

Godbless Lema

Na JANETH MUSHI, ARUSHA

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Arusha, imefuta maombi ya jinai namba 56 ya mwaka 2016, yaliyofunguliwa na mawakili wanaomtetea Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema).

Maombi hayo yalifutwa jana baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani mwanzoni mwa wiki hii, baada ya kushikiliwa na polisi kwa siku kadhaa bila kufikishwa mahakamani.

Novemba 7 mwaka huu, Wakili John Mallya na Sheck Mfinanga walifungua maombi mahakamani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani