KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUUNGURUMA APRILI 16

Upande wa mashtaka wa kesi inayowakabili viongozi saba wa Chadema, akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iruhusu kesi hiyo isikilizwe kwa haraka, ikiwezekana jambo hilo kuanza kesho.

Wakili huyo wa Serikali, Faraja Nchimbi amesema msingi wa maombi hayo ni kutokana nai upelelezi kukamilika.

Amesema sababu nyingine ni kwamba washtakiwa wengi katika kesi hiyo ni wabunge na kwa kuwa kesi hiyo inavuta watu wengi ni vema ikasikilizwa haraka.

"Kwa...

 

2 years ago

Global Publishers

Kesi ya Mbowe Vs RC Makonda, Sirro na Kamanda Wambura Yaanza Kuunguruma Mahakama Kuu

DAR ES SALAAM: Kesi ya kupinga kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Kamanda wa Jeshi la Polisi Dar, Kamishna Simon Sirro na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura imeanza kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo, Mbowe anapinga kukamatwa na Jeshi la Polisi Dar kufuatia wito wa RC Makonda aliyemtaja kwa tuhuma za...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya William Mhando na wenzake wa Tanesco MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu yawaachia huru

Mhando-768x516

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na wenzake wa nne, waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka sita ambayo ni matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mbali na Mhando, washtakiwa wengine ni anayedaiwa kuwa mke wake, Eva Mhando, ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Santa Clara Supplies, Wahasibu Wafawidhi wa Tanesco, France Mchalange, Sophia...

 

1 year ago

Michuzi

UAMUZI KESI MBOWE, WENZAKE KUPELEKWA MAHAKAMA KUU AU LAA KUJULIKANA MEI 15


Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
UAMUZI wa kesi inayowakabili viongozi 9 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ya kufanya maandamano/mkusanyiko usio halali unatarajiwa kutolewa Mei 15 mwaka huu kama iende Mahakama Kuu au laa.
Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA KISUTU YAZITAKA PANDE ZOTE MBILI (UTETEZI NA MASHTAKA) KUSHIRIKIANA KULIREJESHA JARADA LA KESI YA MALINZI NA WENZAKE KWA DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imezitaka pande wa zote mbili, ule utetezi na wa mashtaka kufanya kazi kwa kishirikiana kwa ukaribu ili kufuatilia jalada la kesi inayomkabili rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Jamal Malinzi na wenzake lilirudi kutoka (DPP). ambalo liko huko kwa zaidi ya muda wa siku 37.

Maagizo hayo yametolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri leo Novemba 17/2017 baada upande wa mashtaka kusema upelelezi katika kesi hiyo haujakamilika....

 

2 years ago

Mtanzania

KESI YA ‘SCORPION’ YAENDELEA KUUNGURUMA

Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

 

scorpionSHAHIDI wa pili na wa tatu katika kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu Scorpion, wameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam namna walivyopata taarifa za tukio hilo.

Wakitoa ushahidi wao jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Frola Haule kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Nasoro Katuga, shahidi wa kwanza ambaye ni mke wa Said Mrisho aliyetobolewa macho, Stara Sudi, alidai mahakamani hapo kuwa siku ya tukio alimkuta mumewe huyo akiwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Kesi ya Wema na wenzake kuunguruma Agosti Mosi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itaanza kusikiliza kesi ya aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu na wenzake ifikapo Agosti Mosi mwaka huu.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Mbowe na wenzake wafikishwa mahakamani Kisutu

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabiri. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi hao walioripoti Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam kama walivyotakiwa mapema leo, lakini walipofika waliondolewa dhamana na kuwekwa mahabusu. Mchana huu viongozi hao akiwemo Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. ...

 

3 years ago

Mtanzania

Kesi ya kina Mbowe kuunguruma leo

Freeman Mbowe

Freeman Mbowe

NA JUDITH NYANGE, MWANZA

SHAURI la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuiomba Mahakama kubatilisha amri    polisi    kuuzia mikutano ya hadhara ya vyama vya  siasa limepangwa kuanzwa kusikilizwa leo.

Tofauti na yalivyokuwa maombi yaliyowasilishwa Juni 10, mwaka huu katika shauri la  namba 79 la mwaka 2016, mbele ya  Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza  yaliyowajumuisha washtakiwa watano, shauri la sasa litajumuisha  washtakiwa   wawili ambao ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani