Kesi ya pacha waliotishia kuua waandishi Jan 16

PACHA wenye asili ya kiarabu wanaoshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida kwa kutishia kuua waandishi wa habari mkoani hapa, watasomewa maelezo ya awali Januari 16.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Habarileo

Pacha kizimbani kwa kutishia waandishi

WAFANYABIASHARA wawili pacha wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida, wakikabiliwa na mashitaka ya kutishia kwa maneno kuwaua waandishi wa habari mkoani Singida.

 

2 years ago

MillardAyo

Sentensi za ACT- Wazalendo leo Jan 9 mbele ya waandishi wa habari….

Leo Jan 9 chama cha ACT- Wazalendo kilifanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na kumpongeza Mbwana Samatta pamoja na ishu ya Bomoabomoa inayoendelea Dar es Salaam. Akizungumza Naibu katibu mkuu Msafiri Mtemelwa alisema..’ACT Wazalendo katika misingi yetu tunatanguliwa na kauli mbiu ya utu, uzalendo na uadilifu ambayo kila mmoja akiitekeleza ipasavyo itakuwa chachu ya […]

The post Sentensi za ACT- Wazalendo leo Jan 9 mbele ya waandishi wa habari…. appeared first on...

 

4 years ago

Habarileo

Kesi ya walionaswa na kontena la meno ya tembo Jan. 16

UPELELEZI wa kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 7.5 inayowakabili watu sita waliokamatwa Zanzibar, bado haujakamilika.

 

8 months ago

Habarileo

Kesi ‘Mpemba’ wa meno ya tembo sasa Jan 11

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo inayowakabili watu sita akiwemo mfanyabiashara Yussuf Yussuf (34) maarufu ‘Mpemba’, umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro.

 

8 months ago

Habarileo

Uamuzi kesi ya mauaji dada wa bilionea Msuya Jan 4

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga Januari 4, 2017 kutoa uamuzi wa maombi ya mke wa aliyekuwa bilionea jijini Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Msuya ya kufutiwa mashitaka ya mauaji ya wifi yake, Anneth Msuya.

 

3 years ago

Habarileo

Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.

 

3 years ago

Habarileo

Waandishi wabanwa kesi ya Wachina

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwa vyombo vya habari, kutoandika majina ya mashahidi katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilion 5.4, inayowakabili raia watatu wa China.

 

2 years ago

Mwananchi

Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

1 year ago

Channelten

Hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia mshitakiwa wa kesi yamauaji ya Daud Mwangosi

Screen Shot 2016-07-21 at 6.10.18 PM

Mahakama kuu kanda ya Iringa imemtia hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia mshitakiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari kwa Kuwakilisha Kituo cha Channel Ten Mkoa wa Iringa marehemu Daud Mwangosi huku ikiahirisha kutoa adhabu mpaka tar.27 juma tano hii ili kupitia mapendekezo ya adhabu yaliyotolewa na upande wa jamhuri pamojq na maombi ya kupunguza adhabu kwa mshitakiwa yaliyotolewa na wakili wa upande wa utetezi.

Taarifa zaidi endelea kufuatilia Tovuti hii na Tazama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani