Kesi ya ‘Scorpion’ yaahirishwa hadi Januari 25

KESI ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili, Salum Njwete ‘Scorpion’, imeahirishwa hadi Januari 25 mwaka huu kutokana na shahidi ambaye ni daktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, kuwa nje ya kituo hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Global Publishers

Kesi ya bomoabomoa Dar yaahirishwa hadi kesho

1.Baadhi ya wakazi wanaoishi mabondeni wakiwa mahakamani hapo.Baadhi ya wakazi wanaoishi mabondeni wakiwa mahakamani hapo.2.Wakazi wa maeneo ya mabondeni wakiwa tayari kusikiliza shauri la zuio lao la kusitisha bomoabomoa mahakamni hapo.Wakazi wa maeneo ya mabondeni wakiwa tayari kusikiliza shauri la zuio lao la kusitisha bomoabomoa mahakamani hapo.3.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia (katikati) akiwa na wakili wake kabla kesi kusikilizwa.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia (katikati) akiwa na wakili wake kabla kesi kusikilizwa.

KESI ya kupinga bomoabomoa iliyofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia (CUF) katika Mahakam Kuu kitengo cha Ardhi jijini Dar es Salaam imesikilizwa leo na kuahirishwa hadi  kesho.

4.Mtulia (kushoto) akijaribu kuzungumza na wananchi waliofika mahakamni hapo.Mtulia (kushoto) akijaribu...

 

2 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZI YAAHIRISHWA HADI DESEMBA MOSI

Chid Benz (kushoto mwenye shati la bluu) akiingia katika lango la mahakama. ...Akiingia katika chumba cha kusikiliza kesi inayomkabili.…

 

11 months ago

Bongo5

Kesi ya Kizza Besigye yaahirishwa tena hadi June 15/2016

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dk.Kizza Besigye aliyekuwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani tarehe 1 June kujibu shtaka la uhaini hajafikishwa mahakamani.

00321073-a79667801a9f640c630768a78220925e-arc614x376-w1200

Upande wa mashtaka umeomba ruhusa mahakama hiyo ihamishwe karibu na gereza alikozuiliwa bw Besigye kwa ajili ya tishio la amani mjini.

Hata hivyo viongozi wengine wa upinzani wamejaa mahakamani ambapo wanafanya mgomo baridi.

Hakimu aliyekuwa anatarajiwa kusikiza kesi hiyo aliagiza kuahirishwa kwa kusikizwa kwa kesi hiyo hadi tarehe 15...

 

12 months ago

Bongo5

Kesi ya Kitilya na Shose Sinare (Miss Tanzania) yaahirishwa hadi Mei 3

Kesi ya aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi wa benki ya Stanibic tawi la Tanzania aliyekuwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 1996, Shose Sinare. imehairishwa tena mpaka Mei 3.

13124954_1118898328174160_8279393462362525218_n

Leo April 29, kesi hiyo ilitajwa kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam ambapo awali Hakimu Mchauru alitoa maamuzi ya kuahirishwa kwa kesi hiyo mpaka Mei 12 mwaka huu, sababu ni kutokana na jalada halisi la kesi kupelekwa...

 

2 months ago

Bongo5

Kesi inayomkabili Maxence Melo yaahirishwa tena hadi Aprili 3, hakimu atishia kuifuta

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kesi namba 456 inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na mwenzake na Mwanahisa Mike Mushi isipoendelea itafutwa.

Hayo yalisemwa alhamisi hii na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya kukerwa na upande wa Jamhuri ambao ulishindwa kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali badala yake ukaomba kuahirisha kesi.

Mwendesha Mashtaka, Inspekta Hamis Said, alidai mbele ya Hakimu Simba kwamba kesi ilitakiwa kuanza kusikilizwa...

 

6 months ago

Mwananchi

Kesi ya ‘Scorpion’ yapigwa kalenda

Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeahirishwa hadi Novemba 16, mwaka huu itakapotajwa tena.

 

4 months ago

Mtanzania

KESI YA ‘SCORPION’ YAENDELEA KUUNGURUMA

Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

 

scorpionSHAHIDI wa pili na wa tatu katika kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu Scorpion, wameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam namna walivyopata taarifa za tukio hilo.

Wakitoa ushahidi wao jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Frola Haule kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Nasoro Katuga, shahidi wa kwanza ambaye ni mke wa Said Mrisho aliyetobolewa macho, Stara Sudi, alidai mahakamani hapo kuwa siku ya tukio alimkuta mumewe huyo akiwa...

 

4 months ago

Habarileo

‘Scorpion’ azidi kutajwa kesi ya kutoboa macho

MASHAHIDI wawili katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili, Salum Njwete ‘Scorpion’, wameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala kuwa mlalamikaji Said Mrisho alimtaja Scorpion kwamba ndiye aliyemchoma visu na kumtoboa macho.

 

3 months ago

Mwananchi

Daktari wa macho atoa ushahidi ‘kesi ya Scorpion’

Shahidi wa nne katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete, ameieleza Mahakama kuwa mtu aliyehusika kumtoa macho Said Mrisho alikuwa ni mzoefu wa vitendo hivyo  na siyo wa kawaida.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani