KESI YA ‘SCORPION’ YAENDELEA KUUNGURUMA

Na WAANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

 

scorpionSHAHIDI wa pili na wa tatu katika kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu Scorpion, wameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam namna walivyopata taarifa za tukio hilo.

Wakitoa ushahidi wao jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Frola Haule kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Nasoro Katuga, shahidi wa kwanza ambaye ni mke wa Said Mrisho aliyetobolewa macho, Stara Sudi, alidai mahakamani hapo kuwa siku ya tukio alimkuta mumewe huyo akiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

2 years ago

Michuzi

Kesi dhidi ya anayedaiwa kuwa malkia wa Tembo yaendelea kuunguruma.

Na Karama Kenyunko, Blog ya Jamii 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa mshtakiwa Salvius Matembo anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na biashara ya Meno ya Tembo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 13.9 alijaribu kuwatoroka polisi walipoenda kumkamata.

Askari wa Jeshi la Polisi Idara ya Upelelezi na Makosa ya Jinai, Koplo Emmanuel John alisema hayo leo wakati akitoa ushahidi wake mbele ya hakimu mkazi, Huruma shahidi kama shahidi wa pili.

Mshtakiwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Kesi ya ‘Scorpion’ yapigwa kalenda

Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeahirishwa hadi Novemba 16, mwaka huu itakapotajwa tena.

 

2 years ago

Habarileo

Kesi ya ‘Scorpion’ yaahirishwa hadi Januari 25

KESI ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili, Salum Njwete ‘Scorpion’, imeahirishwa hadi Januari 25 mwaka huu kutokana na shahidi ambaye ni daktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, kuwa nje ya kituo hicho.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Hukumu kesi ya ‘Scorpion’ kusomwa mwakani

HUKUMU ya kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za kibongo, Salum Njwete (Scorpion) inatarajiwa kusomwa Januari 10 mwaka 2018, anaandika Hamis Mguta. Kesi hiyo iliendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo Scorpion alikuwa ...

 

2 years ago

Habarileo

‘Scorpion’ azidi kutajwa kesi ya kutoboa macho

MASHAHIDI wawili katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili, Salum Njwete ‘Scorpion’, wameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala kuwa mlalamikaji Said Mrisho alimtaja Scorpion kwamba ndiye aliyemchoma visu na kumtoboa macho.

 

2 years ago

Mwananchi

Daktari wa macho atoa ushahidi ‘kesi ya Scorpion’

Shahidi wa nne katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete, ameieleza Mahakama kuwa mtu aliyehusika kumtoa macho Said Mrisho alikuwa ni mzoefu wa vitendo hivyo  na siyo wa kawaida.

 

5 years ago

Uhuru Newspaper

Kesi ya Madabida yaanza kuunguruma


NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL), kinachomilikiwa na Ramadhani Madabida kuwa ni bandia.
Hayo yalidaiwa jana na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Osward Tibabyekomya, mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba, wakati akiwasomea maelezo ya awali Madabida na wenzake.
Madabida, ambaye ni Ofisa...

 

3 years ago

Mtanzania

Kesi ya Kafulila kuunguruma leo

KAFULILANa Mwandishi Wetu, Kigoma

KESI ya kupinga matokeo ya jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa Novemba 2015 katika Mahakama Kuu kanda ya Tabora   itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia leo, mbele ya Jaji Dk. Wambura ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama Lushoto Tanga.

Kesi hiyoNa 2 ya mwaka 2015 yenye mvuto mkubwa wa siasa, itafanyika katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa kipindi chote.

Habari zinasema  itakuwa kwenye mahakama ya wazi na hivyo kuvuta hisia na umma mkubwa wa wakazi wa Mkoa wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani