Kesi ya uchaguzi wa Gambia yahairishwa hadi Mei

Mahakama ya juu zaidi nchini Gambia haiwezi kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya kura ya mwezi uliopita hadi mwezi Mei, kwa mujibu wa jaji mkuu Emmanuel Fagbenle.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Kesi ya ‘malkia wa tembo’ yahairishwa hadi mwezi ujao

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kusikiliza ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili raia wa China anayedaiwa kuwa malkia wa meno ya tembo, Yang Feng Glan (66) na wenzake wawili kutokana na mawakili wa utetezi kutokuwapo mahakamani. Kesi hiyo itasikilizwa tena Juni Mosi, mwaka huu.

 

2 years ago

Bongo5

Kesi ya Kitilya na Shose Sinare (Miss Tanzania) yaahirishwa hadi Mei 3

Kesi ya aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi wa benki ya Stanibic tawi la Tanzania aliyekuwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 1996, Shose Sinare. imehairishwa tena mpaka Mei 3.

13124954_1118898328174160_8279393462362525218_n

Leo April 29, kesi hiyo ilitajwa kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam ambapo awali Hakimu Mchauru alitoa maamuzi ya kuahirishwa kwa kesi hiyo mpaka Mei 12 mwaka huu, sababu ni kutokana na jalada halisi la kesi kupelekwa...

 

4 years ago

GPL

KESI YA GHOROFA YAHAIRISHWA

   Mmoja wa watuhumiwa akitoka kwa hakimu.
   Watuhumiwa wakishuka ngazi.
   Mtuhumiwa akikwepa mwanga wa kamera ya GPL…

 

2 years ago

Michuzi

Kesi ya Lissu yahairishwa

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi – Kisutu, Yohanne Yongolo ameihairisha kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu hadi Septemba 6 mwaka huu ili kutoa uamuzi wa maombi yaliyoombwa na upande wa mshtakiwa.
Kesi hiyo imehairishwa leo Jijini Dar es Salaam na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo kutokana na kushindwa kufikia muafaka juu ya hoja iliyotolewa na Wakili wa Utetezi, Peter Kibatala ya kuiomba Mahakama kuleta barua ya maelezo kutoka kwa Afisa wa Makosa ya Jinai wa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Rugulika yahairishwa Burundi

Mahakama ya Burundi imeahirisha kesi inayomkabili mwandishi wa habari Bob RUGURIKA

 

1 year ago

Mwananchi

Kesi ya Ndama, Mtoto wa Ng’ombe yahairishwa

Kesi inayomkabili mfanyabiashara, Shabani Hussein maarufu Pedeshee Ndama Mtoto wa Ng'ombe imeahirishwa hadi Julai 20, 2017 baada ya upande wa mashtaka kudai upelelezi bado haujakamilika. 

 

3 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANZIA MEI 21 HADI JUNI 18, 2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. 

Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

2 years ago

Channelten

Uchaguzi Gambia – Ujumbe maalum wazuru Gambia kumshawishi Jammeh kukubali matokeo

jameh

Ujumbe mzito wa Umoja wa Afrika uko njiani kuelekea Gambia kumshawishi rais Yahya Jammeh kukubali kushindwa katika uchaguzi uliofanyika Desemba mosi mwaka huu .

Katika taarifa yake Umoja huo umesema unapinga vikali jaribio lolote la kuyapindua matokeo ya uchaguzi huo, ambapo wananchi wa Gambia walidhihirisha chaguo lao.

Ujumbe huo unawashirikisha Rais Ellen Jonhson Sirleaf wa Liberia ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma,...

 

3 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANA KESHO MEI 21, 2015 HADI JUNI 18, 2015


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani